Unakurupuka tu, wapi waliposema kivuko kimezama sababu ni kibovu, muwe mnafuatulia taarifa sio kuropoka tu. Acha serikali ifanye kazi yake, Waziri Mkuu ashasema aliyehusika atachukuliwa hatua baada ya uchunguzi kukamilika.Bodi ndio ilijaza watu na mizigo kwenye kivuko?
Je serikali iliyozembea onyo la mbunge tusemeje?.
Vivuko vibovu na vizee vimekua vikinunuliwa na wanaovinunua wapo hatujawahi kusikia wakishughulikiwa.
Hatupendi kuchukua hatua mapema za kuzuia, tunapenda kushughulikia matokeo ya uzembe wetu.
Seat sio cityNawahi city ya mbele
Zote hizo ni haraka za kuwahiSeat sio city
Vipi kuhusu waziri hakumfukuza?Kufuatia ajali ya meli ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Sep 2018, Rais Magufuli aivunja Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa kamati na vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza ajali hiyo.
View attachment 875542
Tuliza munkali wewe na bado waziri anatimuliwaAsshole comment
SUMATRA wanaponaje?