Shida na kwenye vipaumbele vyetu.Hapo ndo kwenye shida.
Watu walikuwa wanalalamika kivuko kinafanya trip chache wakati population ni kubwa mno.Lakini serikali aikusikia.
Trip 2 kwa siku kwa pande mbili.Kinapaswa kuchukua abiria 101,kama huko visiwani watu wapo 10,000,angalau 2000 wanahitaji kwenda na kurudi between the islands.Wanajigawaje kwenye hicho kivuko,given ni 2 trips per day.Hesabu zinakataa,itabidi tusokomezane humohumo.
The same story na Mv Bukoba.Enzi hizo kwenda Bukoba ilikubidi upite Kenya na Uganda.Ukitumia basi ni mwendo wa mateka.It was expensive na tiresome journey.The cheapest,safest na shortest ilikuwa ni meli.Badala ya serikali kuwekeza hapo.Ikazembea.Watu wakawa ni alternative moja kunga'nganiana humohumo ilimradi tufike.Majanga yakutukuta.
Tanzania ni nchi maskini.Tuwekeze kwenye vyombo na miundombinu inayogusa wengi.Tuache luxury na cosmetic investments.Vipaumbele!!!