Kiukweli JPM kwa uchunguzi namwaminia. Huwa haonei mtu, utawajibishwa kadri ya recommendations za tume ya uchunguzi. Ninaongea kwa mfano hai.Mtendaji utamjua kwa maamuzi sahihi,safi sana rais kwa hatua hii
Kiukweli JPM kwa uchunguzi namwaminia. Huwa haonei mtu, utawajibishwa kadri ya recommendations za tume ya uchunguzi. Ninaongea kwa mfano hai.Mtendaji utamjua kwa maamuzi sahihi,safi sana rais kwa hatua hii
Huku ni kutafuta public attention!!!Kukurupuka kuvunja bodi ndo kutarudisha ndugu zetu.Busara ilikuwa ni tumalize maombolezo ambko ndiko public attention iliko!!!!Kumbuka hata bodi ya usalama barabarani ilivunjwa mbeya bado ajali zinaongezeka!!!Acheni kukurupukaAsshole comment
Wewe pesa ya flyover ya tazara ni mradi ulioanzishwa na kikwete huyu babu kaja kusimamia tukma kila kitu ni hewa, ile flyover pale tazara unaiona ni hewa tu?
Wewe pesa ya flyover ya tazara ni mradi ulioanzishwa na kikwete huyu babu kaja kusimamia tu
Unamaanisha waziri yupi, Mhe Makame Mbarawa au Mhe. Isaac Kamwelwe?Hao temesa anazunguka tu mawaziri wanaachwaje na ndo wasimamizi wakuuu
Kivuko hakikuzama. Kilipinduka
Ungeandikiwa kwa English labda ndo ungeelewa, kama una uelewa kichwani lakini. Ferry haikuzama (sunk). Ilipinduka (capsized/toppled).Mwendo kasi??!! Over speed??!! Maneno mengine tuweke mioyoni tu sio midomoni.
Vichekesho wa Korea aliachia ngazi kwa tukio kama hiliKufuatia ajali ya meli ya MV Nyerere iliyotokea tarehe 20 Sep 2018, Rais Magufuli aivunja Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa kamati na vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza ajali hiyo.
View attachment 875542