mr yamoto
JF-Expert Member
- Oct 2, 2016
- 923
- 1,393
Mlikuwa nae ndani ya ccm, pamoja na polisiccm lakni mkamwacha.Kabla ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 kwenye gazeti la Mawio, kuna mtaalamu mmoja alichambua "afya ya akili" ya mgombea mmoja akahitimisha kwamba, mgombea huyo kama ikishinda, kuna siku atafanya uamuzi ambao utaligharimu mno taifa hili. Kuna watu wanasema kwenye korido mbalimbali kwamba hiyo ndio sababu hasa ya gazeti hilo kufungiwa!