Rais Magufuli acha kutembelea nchi masikini hazitakusaidia chochote

Na wewe tembelea waking Manji, Mengi, MO, Barehesa, uwacha ndugu zako. Kissa Awana mmasaada. Ndiio walewale wasiokwenda kwao. Kwenye mitandao uonyesha majumba ya watu wakisema yao
 
Hapo vip!!
Binafsi Ziara za Rais wetu muheshiwa Dr. John Pombe Magufuli, naona kama ziara ambazo hazina maslahi kwa Taifa letu.

Nchi anazotembea ni maskini yenye matatizo kama ya nchi yetu au hata zaidi ya nchi yetu.
Tafsiri yake anatumia Pesa za wananchi bure kwenda kuzura na kuwatembelea maskini wenzake wasioweza kumsaidia wala yeye kuwasaidia, kwa ujumla ni ziara za kimaskini,ambazo hazina maslahi kwa nchi yetu.

Ni wazi uchumi wa nchi yetu ipo ICU, tunaitaji ziara zinazoweza kuleta uvumbuzi dhidi ya matatizo ya uchumi yanayoikabili nchi yetu.

Najaribu kujiuliza katika hizo nchi anazotembelea, tunaweza kuwapata wawekezaji, wakuja kuekeza katika nchi yetu..?

Ziara katika nchi tajiri Kama za America na Ulaya ni muhimu na hazikwepeki kufanywa na Rais nchi yetu, sasa yeye anatembelea Mataifa maskini,sio kosa kutembelea nchi za kiafrika ila atambue hizo ziara hazina maslahi Sana kwa Taifa letu kwa sasa.

Ni wazi nchi yetu bado inahitaji misaada, sio Swala la kumumunya maneno hapa, sasa katika hizo nchi anaweza akapata vip misaada, habari ya kujidai maskini jeuri huku huna mbinu mbadala za kutatua tatizo ni kujitesa mwenyewe.

Akafanye ziara Duniani huko, ziara za kuwatembelea wakina Museveni, Kagame na wengine wanaofanana nao, hazina tiga kwa maslahi Sana kwa nchi yetu.

Robert Mugabe alijidai maskini jeuri, Lakini wote nyie ni mashahidi kwa kilichoikumba uchumi wa Zimbabwe..

Kwa maoni yangu kuliko angefanya hizo ziara bora angebaki tu Ikulu.
Hili si ndio swala alilokuwa anafanya mh. Kikwete napo akalalamikiwa anakula bata sana kwa wazungu huko

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Hapo vip!!
Binafsi Ziara za Rais wetu muheshiwa Dr. John Pombe Magufuli, naona kama ziara ambazo hazina maslahi kwa Taifa letu.

Nchi anazotembea ni maskini yenye matatizo kama ya nchi yetu au hata zaidi ya nchi yetu.
Tafsiri yake anatumia Pesa za wananchi bure kwenda kuzura na kuwatembelea maskini wenzake wasioweza kumsaidia wala yeye kuwasaidia, kwa ujumla ni ziara za kimaskini,ambazo hazina maslahi kwa nchi yetu.

Ni wazi uchumi wa nchi yetu ipo ICU, tunaitaji ziara zinazoweza kuleta uvumbuzi dhidi ya matatizo ya uchumi yanayoikabili nchi yetu.

Najaribu kujiuliza katika hizo nchi anazotembelea, tunaweza kuwapata wawekezaji, wakuja kuekeza katika nchi yetu..?

Ziara katika nchi tajiri Kama za America na Ulaya ni muhimu na hazikwepeki kufanywa na Rais nchi yetu, sasa yeye anatembelea Mataifa maskini,sio kosa kutembelea nchi za kiafrika ila atambue hizo ziara hazina maslahi Sana kwa Taifa letu kwa sasa.

Ni wazi nchi yetu bado inahitaji misaada, sio Swala la kumumunya maneno hapa, sasa katika hizo nchi anaweza akapata vip misaada, habari ya kujidai maskini jeuri huku huna mbinu mbadala za kutatua tatizo ni kujitesa mwenyewe.

Akafanye ziara Duniani huko, ziara za kuwatembelea wakina Museveni, Kagame na wengine wanaofanana nao, hazina tiga kwa maslahi Sana kwa nchi yetu.

Robert Mugabe alijidai maskini jeuri, Lakini wote nyie ni mashahidi kwa kilichoikumba uchumi wa Zimbabwe..

Kwa maoni yangu kuliko angefanya hizo ziara bora angebaki tu Ikulu.
Hiyo nnkasumba inayosumbua akili yako
 
Mzee hakusafiri mkamsema leo kasafiri mnamsema tena ziara hazina tija nchi maskini.. nchi tajiri ingenunua hayo mahindi tani 700000?
China has become a super power after investing to poor people who are the one with needs not demand

Zimbabwe has international barriers and restriction .. JPM Reduce some of it frm TZ sasa we are going to sell commodity to Zim..

Sasa kaa na tecno yako sema nchi masikini wenzako tunafungusha parachichi tunapeleka zim
 
Mimi simchukii Mh. Rais Magufuli. Najua kuwa ni Rais wangu kwa wakati huu. Ninajua kuwa kila Rais inambidi atoe mchango wake katika kuliondoa Taifa hili kutoka hatua moja hadi nyingine.

Nafahamu pia kuwa hakuna chuo cha Urais. Rais Magufuli kuna maeneo amekwishakosea. Na pale alipokosea anaweza kujisahihisha mwenyewe au sisi kumsahihisha au kumshauri.

Kama nchi, hatuna muda usio wa umuhimu. Kwa sasa tunahitaji uwekezaji, tena uwekezaji mkubwa kuliko kipindi chochote. Tuna maelfu ya wahitimu wa vyuo wanaotaka ajira. Tunataka wawekezaji wa kuajiri wafanyakazi 1000+, na siyo hawa wa watu 3 (viwanda vya cherahani 3). Tumeharibu mazungira ya uwekezaji. Hakuma mtu mwingime wa kurekebisha zaidi ya yeye aliyeyaharibu.

Maskini wenzetu watembelewe na watutembelee maana huchagui ndugu lakini kwenye strategic economy ni lazima tujue wapi kwa kupeleka nguvu zetu nyingi.

Tunahitaji uwekezaji, hasa uwekezaji mkubwa. Vijana wahitimu wanahitaji ajira ili baadaye waweze kubadilisha mishahara yao kuwa mitaji ya uwekezaji.

Ni vema Rais akawapuuza wenye kumsifia kwa kila jambo. Badala yake achambue kwa umakini hoja za wale wenye kumpa challenge.
Umelifafanua vyema comred ila kumbuka kuna watu huwa wanaasili ya kupinga tu.

Nashukuru Sana.
 
Hapo vip!!
Binafsi Ziara za Rais wetu muheshiwa Dr. John Pombe Magufuli, naona kama ziara ambazo hazina maslahi kwa Taifa letu.

Nchi anazotembea ni maskini yenye matatizo kama ya nchi yetu au hata zaidi ya nchi yetu.
Tafsiri yake anatumia Pesa za wananchi bure kwenda kuzura na kuwatembelea maskini wenzake wasioweza kumsaidia wala yeye kuwasaidia, kwa ujumla ni ziara za kimaskini,ambazo hazina maslahi kwa nchi yetu.

Ni wazi uchumi wa nchi yetu ipo ICU, tunaitaji ziara zinazoweza kuleta uvumbuzi dhidi ya matatizo ya uchumi yanayoikabili nchi yetu.

Najaribu kujiuliza katika hizo nchi anazotembelea, tunaweza kuwapata wawekezaji, wakuja kuekeza katika nchi yetu..?

Ziara katika nchi tajiri Kama za America na Ulaya ni muhimu na hazikwepeki kufanywa na Rais nchi yetu, sasa yeye anatembelea Mataifa maskini,sio kosa kutembelea nchi za kiafrika ila atambue hizo ziara hazina maslahi Sana kwa Taifa letu kwa sasa.

Ni wazi nchi yetu bado inahitaji misaada, sio Swala la kumumunya maneno hapa, sasa katika hizo nchi anaweza akapata vip misaada, habari ya kujidai maskini jeuri huku huna mbinu mbadala za kutatua tatizo ni kujitesa mwenyewe.

Akafanye ziara Duniani huko, ziara za kuwatembelea wakina Museveni, Kagame na wengine wanaofanana nao, hazina tiga kwa maslahi Sana kwa nchi yetu.

Robert Mugabe alijidai maskini jeuri, Lakini wote nyie ni mashahidi kwa kilichoikumba uchumi wa Zimbabwe..

Kwa maoni yangu kuliko angefanya hizo ziara bora angebaki tu Ikulu.
Hakuna nchi duniani iliyoendelea kwa kupewa misaada!
 
[/QUOTushauri mzuri lakini akitembela nchi tajiri ataongea nini maana nchi tajiri kingereza ndio lugha wanayo elewa hata kama sio luhga yao lakini ukiongea ndio kidogo wanajuwa umo serious. kwafano uende Japan au Germany au ufarasa uongee kiswahili watakuona kama unataka kuwaibia lakini ukiongea kingereza kama hawakuelewi wanamuita wakutafusiri haraka.
 
N
Hapo vip!!
Binafsi Ziara za Rais wetu muheshiwa Dr. John Pombe Magufuli, naona kama ziara ambazo hazina maslahi kwa Taifa letu.

Nchi anazotembea ni maskini yenye matatizo kama ya nchi yetu au hata zaidi ya nchi yetu.
Tafsiri yake anatumia Pesa za wananchi bure kwenda kuzura na kuwatembelea maskini wenzake wasioweza kumsaidia wala yeye kuwasaidia, kwa ujumla ni ziara za kimaskini,ambazo hazina maslahi kwa nchi yetu.

Ni wazi uchumi wa nchi yetu ipo ICU, tunaitaji ziara zinazoweza kuleta uvumbuzi dhidi ya matatizo ya uchumi yanayoikabili nchi yetu.

Najaribu kujiuliza katika hizo nchi anazotembelea, tunaweza kuwapata wawekezaji, wakuja kuekeza katika nchi yetu..?

Ziara katika nchi tajiri Kama za America na Ulaya ni muhimu na hazikwepeki kufanywa na Rais nchi yetu, sasa yeye anatembelea Mataifa maskini,sio kosa kutembelea nchi za kiafrika ila atambue hizo ziara hazina maslahi Sana kwa Taifa letu kwa sasa.

Ni wazi nchi yetu bado inahitaji misaada, sio Swala la kumumunya maneno hapa, sasa katika hizo nchi anaweza akapata vip misaada, habari ya kujidai maskini jeuri huku huna mbinu mbadala za kutatua tatizo ni kujitesa mwenyewe.

Akafanye ziara Duniani huko, ziara za kuwatembelea wakina Museveni, Kagame na wengine wanaofanana nao, hazina tiga kwa maslahi Sana kwa nchi yetu.

Robert Mugabe alijidai maskini jeuri, Lakini wote nyie ni mashahidi kwa kilichoikumba uchumi wa Zimbabwe..

Kwa maoni yangu kuliko angefanya hizo ziara bora angebaki tu Ikulu.
simkubali Magu kwenye mambo mengi sana ila hapa namtetea. Ziara ni muhimu na sote tunajua hivyo. Ushauri mzuri ungekuwa, pamoja na kutembelea nchi za Kiafrika, sasa rais aelekeze nguvu kufanya ziara kwenye nchi tajiri ili kuzishawishi kuwekeza Tz
 
Bibie unakopesha nikukope? Hakuna raha kama kupata mwanamke anayekopesha, wengi wanataka on spot cash based biashara
Ukikidhi vigezo nakopesha. Kwa kuwa unaongelea biashara basi kigezo cha kwanza ni kuhakikisha umwanamme kamili? Ukiwa tayari nijulishe nitume vijana wakukaguwe marinda.
 
hawezi kutembelea mataifa tajiri kwasababu hana confidence ya kuwasiliana kwa lugha ya kingereza.

asilimia 90 ya mataifa tajiri raia wanazungumza kingereza.
 
Ukikidhi vigezo nakopesha. Kwa kuwa unaongelea biashara basi kigezo cha kwanza ni kuhakikisha umwanamme kamili? Ukiwa tayari nijulishe nitume vijana wakukaguwe marinda.
Hilo usihofu, nitakupa zaidi ya ujuavyo. Huna haja ya kukagua marinda muziki utauona. Pls inbobo. 0754....
 
Back
Top Bottom