Rais Samia ametembelea Jumla ya Mataifa 18 Mwaka 2023

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Kwa mwaka wa 2023 Rais Samia amezulu na kutembelea Jumla ya Mataifa 18 Duniani kote.

Kwenye ziara hizo ameinadi vyema diplomasia ya Uchumi na Diplomasia ya Tanzania ambapo Kupitia ziara zake hizo Nchi imenufaika katika nyanja mbalimbali kuanzia biashara, uchumi,Utalii, uwekezaji,Ajira,Elimu,masoko mapya nk.

COUNTRIES SAMIA VISITED IN 2023She attended global high-profile events in Switzerland, Senegal, Burundi, Ethiopia, South Africa x2, Namibia, Uganda, Nigeria, Malawi, Kenya, Qatar, India, Zambia, Rwanda, Angola, Morocco, Saudi Arabia. UAE

My Take
Kuna Nchi muhimu na za kimkakati Bado mama hajazifikia mfano Nchi za Scandinavia,Japan,Australia,Canada,DRC Congo,Korea Kusini,Brazil,Egypt na Algeria.

Ni matumaini yangu kwamba Mwaka 2024 atazifikia hizo Nchi hapo Juu.
 
Hili nalo mkalitizame

20231125_110735.jpg
 
Kati ya safari 18 , robo tatu ya safari zilikuwa ni za udalali tu na safari nyingi za siri uarabuni mpaka bandari ikauzwa kwa DP World.

Kutimuliwa kwa wamasai Ngorongoro ili waarabu wapate vitalu vya uwindaji.

Kutembelea wajomba zake Oman .
 
Kwa mwaka wa 2023 Rais Samia amezulu na kutembelea Jumla ya Mataifa 18 Duniani kote.

Kwenye ziara hizo ameinadi vyema diplomasia ya Uchumi na Diplomasia ya Tanzania ambapo Kupitia ziara zake hizo Nchi imenufaika katika nyanja mbalimbali kuanzia biashara, uchumi,Utalii, uwekezaji,Ajira,Elimu,masoko mapya nk.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1738940999332733041?t=vJ0KpMLIXMx7s4MTjyO4BA&s=19

My Take
Kuna Nchi muhimu na za kimkakati Bado mama hajazifikia mfano Nchi za Scandinavia,Japan,Australia,Canada,DRC Congo,Korea Kusini,Brazil,Egypt na Algeria.

Ni matumaini yangu kwamba Mwaka 2024 atazifikia hizo Nchi hapo Juu.

Asisahau na Bhutan, Dominica republic, Somalia, Gambia na Lesotho
 
Tuwekee na tija ya hizo safari zake, kama nchi tumefaidika na nn?!.
Au ni yeye na kundi lake kulamba posho tu za safari.
 
Kwa mwaka wa 2023 Rais Samia amezulu na kutembelea Jumla ya Mataifa 18 Duniani kote.

Kwenye ziara hizo ameinadi vyema diplomasia ya Uchumi na Diplomasia ya Tanzania ambapo Kupitia ziara zake hizo Nchi imenufaika katika nyanja mbalimbali kuanzia biashara, uchumi,Utalii, uwekezaji,Ajira,Elimu,masoko mapya nk.

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1738940999332733041?t=vJ0KpMLIXMx7s4MTjyO4BA&s=19

My Take
Kuna Nchi muhimu na za kimkakati Bado mama hajazifikia mfano Nchi za Scandinavia,Japan,Australia,Canada,DRC Congo,Korea Kusini,Brazil,Egypt na Algeria.

Ni matumaini yangu kwamba Mwaka 2024 atazifikia hizo Nchi hapo Juu.

Hii taarifa yako hujaitafakari vizuri kabla ya kuileta humu!!!

Ungekuwa na akili za kutosha ungetambua kwamba kisiasa hili la kuzurula linampunguzia mama heshima!!

Ukifuatilia ziara za mama utajua Kila ziara ililazimika Serikali kutoa ufafanuzi wa kwa nini Kuna hiyo ziara. Utakumbuka pia msululu wa watu anaoambatana nao umekuwa ukiwakera walipa Kodi.

Katika ziara hizi mara zote tunaambiwa zimeleta neema ya Mikopo, lakini hapohapo walipa Kodi hawaoni tija ya Mikopo hiyo kwa umma. Yapo malalamiko kwamba pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa wajanja.

Kwahiyo tunapoelekea kwenye chaguzi za 2024 na 2025 ni vyema ukatambua kwamba hili andiko lako linamchafua mama na huenda baadaye Serikali ikalazimika kutoa ufafanuzi.

UCHAWA ni UCHAFU
 
Back
Top Bottom