Rais Magufuli abadili upepo wa dunia; Airbus Bombardier zawa lulu

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,080
10,037
Uganda wamenunua bombardier mbili kwa mpigo. Ethiopia waweka oda ya Airbus A220 ishirini. Mexico imeweka oda ya Airbus A220 ndege 12. Ikumbukwe Tanzania kupitia ATCL ndio ya kwanza kununua na kutumia ndege aina ya Airbus A220.

Mexico walikuwa wanunue Sukhoi Superjet 100 wamekanseli Oda.
 
Attachments

  • UG-PLANE-LEAVES-CANADA.jpg
    UG-PLANE-LEAVES-CANADA.jpg
    20.8 KB · Views: 1
Uganda wamenunua bombardier mbili kwa mpigo. Ethiopia waweka oda ya Airbus A220 ishirini. Mexico imeweka oda ya Airbus A220 ndege 12. Ikumbukwe Tanzania kupitia ATCL ndio ya kwanza kununua na kutumia ndege aina ya Airbus A220.

Mexico walikuwa wanunue Sukhoi Superjet 100 wamekanseli Oda.
Una lahana wewe si bure
 
aisee kweli ukiwa na mahaba akili inakua kama imejichomoa betri. Eti JPM abadili upepo airbus? Kwa taarifa yako atcl ni ya kwanza kutumia hiyo ndege kwa africa sio duniani. Hiyo ndege ilikua inatumika canada na ulaya kwa muda mrefu tu. Sasa sisi na kioda chetu cha ndege mbili eti ndio tubadilishe upepo dunia nzima? kwakweli wote tu wazalendo but not to that extent
 
uko na uelewa mdogo sana wewe
 
Uganda wamenunua bombardier mbili kwa mpigo. Ethiopia waweka oda ya Airbus A220 ishirini. Mexico imeweka oda ya Airbus A220 ndege 12. Ikumbukwe Tanzania kupitia ATCL ndio ya kwanza kununua na kutumia ndege aina ya Airbus A220.

Mexico walikuwa wanunue Sukhoi Superjet 100 wamekanseli Oda.
IMG_20191007_032016.jpg
 
yule RC wa jana kasema mvua imenyesha October kwa sababu....
 
aisee kweli ukiwa na mahaba akili inakua kama imejichomoa betri. Eti JPM abadili upepo airbus? Kwa taarifa yako atcl ni ya kwanza kutumia hiyo ndege kwa africa sio duniani. Hiyo ndege ilikua inatumika canada na ulaya kwa muda mrefu tu. Sasa sisi na kioda chetu cha ndege mbili eti ndio tubadilishe upepo dunia nzima? kwakweli wote tu wazalendo but not to that extent
Kwani Airbus A220 narrow body zimeanza kutengeneza lini? Kumbuka Airbus walikuwa na A3 series ambazo zilikuwa zinazingua kwa unywaji was mafuta, atcl ndio shirika la kwanza kutumia A2 series ambazo Ni fuel economy yaani Ni ist za angani.
 
...properly inserted...
Kwa taarifa yako nchi nyingi zimewadharau wasauz, mtn wameamriwa waondoke Nigeria, atcl imesitisha Safari zao sauz, Sasa hivi Rais wao anahangaika kuweka mambo sawa, kamwalika Bhuhari kwa ziara ya siku tatu. Wewe unachoma mateja wenzio wanakuchomea mnara wa simu Nani mwenye hasara?
 
Back
Top Bottom