Serikali yasaini Mkataba wa kununua ndege mbili za aina ya Airbus

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Wakala wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

Mkataba huo umesainiwa leo Alhamisi Septemba 19, 2019 Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.

Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo amesema ndege hizo zitakuwa na tofauti na za aina hiyo ambayo tayari zinatumiwa na ATCL kwani kila kiti kitakuwa na 'skrini' "jambo hii ni historia inaacha historia".

Kwa upande wake, Akoum amesema uchongaji wa ndege ya aina hiyo unachukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na kwa sasa kuna oda nyingi lakini ndani ya kipindi hicho anatumaini itakuwa imekamilisha.

"Uchongaji wa ndege sio jambo rahisi linachukua muda na kwa ndege za aina hii kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na sasa tuna oda nyingi tunapaswa kuzalisha ndege walau mbili na nusu za aina hiyo kwa siku ili kwenda na oda zilizopo," amesema Akoum
 
Kwani China hawana ndege aina ya Yuthong wakatuuzia! hao sio mabeberu ni wenzetu
 
Hizo ndege tatu zinazozalishwa kwa siku zipo wapi!?..au mimi ndio sijaelewa content maana naona uchongaji wa ndege wa kampuni ya Airbus nj mwaka mmoja lakini wewe umetuambia ndege tatu siku moja
 
1568900706124.png

Wakala wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

Mkataba huo umesainiwa leo Alhamisi Septemba 19, 2019 Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.

Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo amesema ndege hizo zitakuwa na tofauti na za aina hiyo ambayo tayari zinatumiwa na ATCL kwani kila kiti kitakuwa na 'skrini' "jambo hii ni historia inaacha historia".

Kwa upande wake, Akoum amesema uchongaji wa ndege ya aina hiyo unachukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na kwa sasa kuna oda nyingi lakini ndani ya kipindi hicho anatumaini itakuwa imekamilisha.

"Uchongaji wa ndege sio jambo rahisi linachukua muda na kwa ndege za aina hii kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na sasa tuna oda nyingi tunapaswa kuzalisha ndege walau mbili na nusu za aina hiyo kwa siku ili kwenda na oda zilizopo," amesema Akoum.
 
Wakala wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

Mkataba huo umesainiwa leo Alhamisi Septemba 19, 2019 Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.

Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo amesema ndege hizo zitakuwa na tofauti na za aina hiyo ambayo tayari zinatumiwa na ATCL kwani kila kiti kitakuwa na 'skrini' "jambo hii ni historia inaacha historia".

Kwa upande wake, Akoum amesema uchongaji wa ndege ya aina hiyo unachukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na kwa sasa kuna oda nyingi lakini ndani ya kipindi hicho anatumaini itakuwa imekamilisha.

"Uchongaji wa ndege sio jambo rahisi linachukua muda na kwa ndege za aina hii kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na sasa tuna oda nyingi tunapaswa kuzalisha ndege walau mbili na nusu za aina hiyo kwa siku ili kwenda na oda zilizopo," amesema Akoum
Habari nzuri hii .... kama bei itakuwa juu zaidi ya hizi mbili zilizopo ina maana haiwezi kuwa BCS300-220, Itakuwa ni toleo A330-200 ndizo zenye viti vilivyo na "Screen" kwa nyuma kama ilivyo B787-8. ... Nimejaribu kuotea tu.
 
Hizi sifa zilizopo tu hasara .hivi Mimi nashindwa kueke nchi yetu inaamini katika uchumi gani .gas .madini mi hata sielewi kila siku ngonjera hali inazidi kuwa mbaya
 
Wakala wa Serikali na kampuni ya utengenezaji wa ndege ya Airbus wamesaini mkataba wa ununuaji wa ndege mbili aina ya Airbus A220-300 ambazo zitatumiwa na Shirika la ndege la Tanzania (ATCL).

Mkataba huo umesainiwa leo Alhamisi Septemba 19, 2019 Airbus imewakilishwa na Makamu wa rais wa kampuni hiyo Afrika, Hadi Akoum na upande wa Serikali alikuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala wa Ndege za Serikali, Benjamin Ndimila.

Akizungumza mara baada ya kusaini mkataba huo, Ndimila ambaye hakutaja gharama halisi inayotumika kununua ndege hizo amesema ndege hizo zitakuwa na tofauti na za aina hiyo ambayo tayari zinatumiwa na ATCL kwani kila kiti kitakuwa na 'skrini' "jambo hii ni historia inaacha historia".

Kwa upande wake, Akoum amesema uchongaji wa ndege ya aina hiyo unachukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na kwa sasa kuna oda nyingi lakini ndani ya kipindi hicho anatumaini itakuwa imekamilisha.

"Uchongaji wa ndege sio jambo rahisi linachukua muda na kwa ndege za aina hii kwa kawaida huchukua mwaka mmoja hadi mwaka mmoja na nusu na sasa tuna oda nyingi tunapaswa kuzalisha ndege walau mbili na nusu za aina hiyo kwa siku ili kwenda na oda zilizopo," amesema Akoum
...Pengine labda upande wa mabasi hawakuzungumzia....kuwa wanaleta mabasi ya kisasa?

Maana sisi wengine hatujajaaliwa kupanda ndege
 
Back
Top Bottom