Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,942
- 19,130
Ili kukamilisha kazi ya kutoa mzigo bandarini kwa muda mfupi, mamlaka hizo hizo zimeamriwa kufanya kazi masaa 24 kwa shift, kwa kuwa bandarini ni sehemu sensitive.
Waziri Mkuu amesema anataka kupata taarifa Jumatatu kuwa utekelezaji huo umefanyika,.
Amesema bandari ya Mombasa inatoa mzigo ndani ya siku 9 huku ya Dar ikichukua siku 14.