john baptiste
Member
- Nov 26, 2015
- 12
- 4
Thats very goof
Hoja imeungwa mkono wanaosema ndiyoooooo wameshinda sasa mjadala uanze
Air Takeoff Confirmation (ATC). Ina wafanyakazi 200 kati yao ma Air hostess wana makunyanzi kwa uzee na kukaa bure.
Wanafurahia huku ndugu zao wakishaondolewa ndo watakuja kulia humu
wafanyakazi waende wapi sasa wakati kuna tatizo kubwa la ajira,watu wapo mtaani wengi hawana ajira!..huku kubana matumizi sasa kutakua ni janga
Magufuli naona sasa anataka kupitiliza utadhani ameshavuka 2020.
Kwa wabunge sawa ila huko kwingine mhh!!
Muhanga No. 1; ATC aka Any Time Cancelled; you bet!! Ndege 1 wafanyakazi 200; Mkwere bhana!?!?
Uko sahihi, hatukatai kuwapunguza... ila MKURUGENZI, msaidizi wa Mkurugenzi na waliolifikisha ATCL wako ktk OFISI, na ndio responsible key people kwanza...
So, aanze kwanza kuwasimamisha au kuwapunguza hao WAKURUGENZI, KISHA KUCHUNGUZWA, huku waliokutwa na tuhuma washitakiwe na kufilisiwa just like TRA style... kisha utakuja kwa wafanya kazi wa taasisi husika...!!!
Unaacha mkuu wa ATCL, kisha unampunguza mfagiaji, imagine just a cleaner wa ofisi, hilo ni KOSA...!!! Aanze na walio tia HASARA hayo mashirika, taasisi, ambao lazima WAKUU WA MASHIRIKA ndio wahusika...!!! Lazima tumshauri Rais hivi,....
Air Takeoff Confirmation (ATC). Ina wafanyakazi 200 kati yao ma Air hostess wana makunyanzi kwa uzee na kukaa bure.
Afute na kuwapunguza Askari wa Usalama Barabarani wooteRais John Pombe Magufuli aagiza mashirika na taasisi za umma zisizo na tija kupunguza wafanyakazi.
Pia wabunge waondolewe kwenye bodi za taasisi za mashirika na taasisi za umma.
Msajili wa Hazina athibitisha leo Jijini Dar.
waanze na lile shirika ndege moja wafanyakazi 200
WANA C.C.M MNAFURAHIA WATU KUFUTWA KAZI ...BADALA YA KUMSHAURI HUYO MKURUPUKAJI ABORESHE SHIRIKA LIWEVNA NDEGE ZA KUTOSHA ILI KUPANUA WIGO WA AJIRA!Mie wala mnashindwa kuelewa hawa bodi ya sukari wanafanyaga kazi gani? viwanda vyote vilishauzwa wao wako ofisini wanafanya nini? au wanasubiri kutoa vibali vya kuagiza sukari? kazi zao zihamishiwe TDFA
Na walimu tunapunguzwa?