Rais Magufuli aagiza RCO Morogoro kusimamishwa kazi, malipo ni hapa hapa.

Vipi la Tundu Lisu halimhusu akalimliakia nalo??, au wanyonge unaowasema ndio wapi??
Tundu Lissu anajua kilichompata na ndiyo maana hajachukua hatua yoyote zaidi ya kuzunguka dunia akiishutumu Serikali ili kupotosha ukweli. YU WAPI DEREVA WAKE?
 
Hajachukua hatua yeyote? ndivyo mnavyojidanganya au wewe ndio hujui kinachoendelea.
 
Huyo ni wa kuchukulia kura 2020 ndo makubaliano atamtumbua kwa aibu na mbwembwe ili kura zijae
Magufuri 2020anapita kiulaini Sana hana haja ya makubaliano yakumtumbua mtu, jambo kubwa linalompandisha kisiasa nijinsi anavyoikemea rushwa waziwazi pasipo kificho na hivyo wananchi wanafarijika Sana kwa kiongozi wao kama rais kuwa namsimamo katika jambo baya kama hilo la rushwa, jpm yuko tofauti sana naviongozi wengine walio mtangulia. Kwa tafsili nyepesi mzee anajua kucheza na hisia za watanzania.
 
Kati ya uchaguzi utakaokuwa mgumu kwa CCM ni huu, watu wako kimya na maumivu yao moyoni utashangaa.
 
Magufuri 2020anapita kiulaini Sana hana haja ya makubaliano yakumtumbua mtu, jambo kubwa linalompandisha kisiasa nijinsi anavyoikemea rushwa waziwazi pasipo kificho na hivyo wananchi wanafarijika Sana kwa kiongozi wao kama rais kuwa namsimamo katika jambo baya kama hilo la rushwa, jpm yuko tofauti sana naviongozi wengine walio mtangulia. Kwa tafsili nyepesi mzee anajua kucheza na hisia za watanzania.
Amebakiza moja tu,............
 
Kama yeye alivyofirahia ya wengine na kuwabambikiza kesi!!
Morogoro ukituhumiwa ukafikishwa kituo cha polisi wale wapelelezi wanachukua simu yako kwanza wanaangalia kama Luna miamala iliyonona.wakikuta unajiweza wanachofanya ni kukuweka ndani mahabusu hata kama kosa lina dhamana hutoki mpaka umetoa pesa
 
Vipi la Tundu Lisu halimhusu akalimliakia nalo??, au wanyonge unaowasema ndio wapi??
labda Tundu Lissu sio mnyonge, na hawa wanyonge ni kina nani hasa? tafsiri ipi inatumika kuwaelezea wanyonge? viongozi wananufaika vipi na unyonge wa watu hao?
 
Rais John Magufuli amemuagiza katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani, kumsimamisha kazi mara moja RCO wa Mkoa wa Morogoro kutokana na kushindwa kushughulikia kesi ya unyanyaswaji wa watumishi wa kampuni ya Tumbaku Morogoro.

Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linaongoza kwa kunyanyasa na kubambikizia watu kesi wakiwepo wafanyabiashara, viongozi wa vyama vya upinzani, wakulima, wafugaji na wananchi wa kawaida.

Ni jana tu huyu RCO aliwanyima dhamana viongozi wa BAVICHA leo yupo kijiweni, nasema malipo ni hapa hapa.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Back
Top Bottom