Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,618
- 5,650
Dhuluma haidumu na ikidumu udamirisha.
Mnafiki mkubwa Yule.Hongera Rais wa wanyonge anamulika kila eneo na kuchukua hatua stahiki!
magufuli atapita kiulain sana,changamot itakua ni wafanyakazi naomb awaakumbukuke angalau wapande madaraja,nakuwaongezea mshaharaAmebakiza moja tu,............
Wewe unaamini amechukua hatua zinazostahili? Au kubwabwaja nje ya nchi ndio hatua zenyewe?Hajachukua hatua yeyote? ndivyo mnavyojidanganya au wewe ndio hujui kinachoendelea.
Rais John Magufuli amemuagiza katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani, kumsimamisha kazi mara moja RCO wa Mkoa wa Morogoro kutokana na kushindwa kushughulikia kesi ya unyanyaswaji wa watumishi wa kampuni ya Tumbaku Morogoro.
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linaongoza kwa kunyanyasa na kubambikizia watu kesi wakiwepo wafanyabiashara, viongozi wa vyama vya upinzani, wakulima, wafugaji na wananchi wa kawaida.
Ni jana tu huyu RCO aliwanyima dhamana viongozi wa BAVICHA leo yupo kijiweni, nasema malipo ni hapa hapa.
Unafurahia binadamu kupata matatizo!!
Rais hawez angaika na maigizo.Vipi la Tundu Lisu halimhusu akalimliakia nalo??, au wanyonge unaowasema ndio wapi??
hii hatari kabisaMorogoro ukituhumiwa ukafikishwa kituo cha polisi wale wapelelezi wanachukua simu yako kwanza wanaangalia kama Luna miamala iliyonona.wakikuta unajiweza wanachofanya ni kukuweka ndani mahabusu hata kama kosa lina dhamana hutoki mpaka umetoa pesa
Yuko mbioni. Jiji la Dar kila kona ni dampo la taka.Amebakia tu Bashite tu Mh.
Mimi nilitarajia Rais amwajibishe IGP halafu mengine yafuate mkondo.Rais John Magufuli amemuagiza katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani, kumsimamisha kazi mara moja RCO wa Mkoa wa Morogoro kutokana na kushindwa kushughulikia kesi ya unyanyaswaji wa watumishi wa kampuni ya Tumbaku Morogoro.
Jeshi la polisi Mkoa wa Morogoro linaongoza kwa kunyanyasa na kubambikizia watu kesi wakiwepo wafanyabiashara, viongozi wa vyama vya upinzani, wakulima, wafugaji na wananchi wa kawaida.
Ni jana tu huyu RCO aliwanyima dhamana viongozi wa BAVICHA leo yupo kijiweni, nasema malipo ni hapa hapa.