Rais Magufuli: 5,000/= wanazoomba trafiki barabarani hazina shida, ni hela ya kubrashia viatu

Amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia Rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu.

Hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa? nawaza tu!

Je, uelewa wa Rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake Rais anaamini rushwa ni ile labda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha?

Rais Magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi.Kwa kauli hii ni wazi wazi Rais Magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! Rais Magu uongozi unahitaji hekima sio kila ni cha kuzungumza!

Mkuu hao ndiyo wanaomuwezesha kwenye SGR. Wametumwa pesa ukikaa vibaya wataingia hata mifukoni kupokonya SGR wanasema wao.
 
Amani iwe kwenu wakuu,nimemsikia Rais Magufuli akisema pesa wanazochukua trafiki barabarani hazina shida ni za kung`arishia viatu.

Hii imekaaje kauli hii sio kwamba anahalalisha rushwa? nawaza tu!

Je, uelewa wa Rais kuhusu rushwa ni mdogo au alipitia tu maana kwa maelezo yake Rais anaamini rushwa ni ile labda inayohusisha kiwango kikubwa cha fedha?

Rais Magufuli omba radhi na ufute kauli yako hii tata ambayo inachochea rushwa kuongezeka zaidi.Kwa kauli hii ni wazi wazi Rais Magufuli amewapa vichwa trafiki barabara kuendelea kuomba rushwa! Rais Magu uongozi unahitaji hekima sio kila ni cha kuzungumza!

Jana amekunywa nao chai na kuwapongeza kwa kazi nzuri. Wao sasa hivi ni TRA2
 
Rushwa kama ilivyo umasikini na unyonge, ni utamaduni pendwa kwa wadanganyika.
 
Mimi nlikuwa namchukia lakini tangia atoe hotuba yake pale kwenye uzinduzi wa ukarabati wa meli ya MV Victoria nsha chukulia yote nipoa no way
 
Back
Top Bottom