Rais kuna jambo inabidi aelezwe(aelimishwe)

Rais kuna jambo inabidi aelezwe(aelimishwe)

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,314
Reaction score
6,896
Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, "nimewapa hela wakati hawakustahili". Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara "kwa heshima ya Wasira", na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.

Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti inayopitishwa na bunge.
Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu nae wamwambie, kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asitugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili".
 
Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, nimewapa hela wakati hawakustahili. Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara kwa heshima ya Wasira, na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.

Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti ya bunge. Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu yake wamwambie kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asirugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili"
Cc jingalao
 
Mimi sioni cha ajabu maana tayari katuhabarisha juu ya ugonjwa wake.
 
Hivi wewe unachukulia hapa tuna Rais anaye elewa heshima ya dhamana aliyopewa ?

Brain yangu sasa hivi ipo kwenye Autopilot mpaka tutakapo mpata Rais sio rais tuliye naye sasa
Mtu anakiri hadharani ni Kichaa unaona dogo hilo ?

Asalalee!
 
Screenshot_20180906-133918.png
 
Nyerer alitufundisha kuwa " Kila mtu anastahili heshima ya kutambulika na kuthaminiwa utu wake". Ni hatari kuwa na kiongozi anayewaambukiza watu wake kiburi, manyanyaso, kudhalilisha, n.k. Ipo haja ya kuangalia tunamweka nani katika ngazi gani ya uongozi. Kama ni kujifunza watanzania tumejifunza vya kutosha awamu hii. Kiutaalamu nchi huwa na nafasi za kisiasa na kiutendaji lakini kwa awamu hii nafasi zote za kiutendaji zimekuwa za kisiasa. Yaani kila mtu analazimishwa kuwa mwanasiasa na wanasiasa wenyewe ndio kama huyu anayelivuruga Taifa kila kukicha. Hadi anamaliza muda wake sielewi kama kutakuwa na Taifa la Tanzania tulijualo. Kila kukicha ni vijembe tuuuuuu! ubaguzi tuuuuu! manyanyaso tuuuuu! huzuni tuuuuu! masononeko tuuuuu! Tanzania tuijuayo ni ile ya kuheshimu utu wa mtu na heshima yake.
 
Naona katika ziara hii kichaa kimekuwa kikubwa sana kama kile cha wakati wa tetemeko la Bukoba
 
Naona katika ziara hii kichaa kimekuwa kikubwa sana kama kile cha wakati wa tetemeko la Bukoba
 
Ukitambua una ubongo usioweza kupambanua mambo ya msingi ni vyema ukanyamaza
Mada umeanzisha wewe.. sisi wachangiaji tu.. Povu la nini?

Wewe unazani yeye kama CCM atasema helya ilioko kwenye budget aliiomba Bulaya?
 
Back
Top Bottom