Rais kuna jambo inabidi aelezwe(aelimishwe)

Kichaa kama Mimi alimaanisha anatoa maamuzi bila kuogopa kitu. Hakuna kichaa aliyekubali kuwa yeye ni kichaa tangu dunia iumbwe. Sasa kumwita MTU aliyeaminiwa na watanzania mln 50 awaongoze unamwita kichaa it very unbecoming. Andikeni hoja sio upuuzi Wa kumwita first citizen eti ni kichaa. Kumbukeni baba Wa taifa alupowaambia akiba Mrema( I can not leave my country to the dogs) .Wapinzani wakamsakama eti amewaita wao ni mbwa. Mwalimu alishangaa sana maana ya dogs pale ni watu Wa ovyo hawana ukomavu Wa sasa bado. Na hili Mheshimiwa Rais lina maa hiyo hiyo ambaye muelewa hawezi kuwa ndicho alichomaanisha Nashauri hizi Quotes ambazo haziakisi ukweli Wa aliyelitamka tuache labda kama wameingia humu J F watu wenye bongo duni( small minds
 
Jamaa ni mbaguzi sijapata ona.nilostushwa na kauli ya hamkustahili wakati kodi inalipwa na watanzania wote.Hakika amejipa u mungu mtu
 
Kwa heshima ya Wasira!!!!? Who is Wasira! Ina maana Wasira ndie anaelipa kodi peke yake huko?
 
Kichaa kama Mimi alimaanisha anatoa maamuzi bila kuogopa kitu. Hakuna kichaa aliyekubali kuwa yeye ni kichaa tangu dunia iumbwe. Sasa kumwita MTU aliyeaminiwa na watanzania mln 50 awaongoze unamwita kichaa it very unbecoming. Andikeni hoja sio upuuzi Wa kumwita first citizen eti ni kichaa. Kumbukeni baba Wa taifa alupowaambia akiba Mrema( I can not leave my country to the dogs) .Wapinzani wakamsakama eti amewaita wao ni mbwa. Mwalimu alishangaa sana maana ya dogs pale ni watu Wa ovyo hawana ukomavu Wa sasa bado. Na hili Mheshimiwa Rais lina maa hiyo hiyo ambaye muelewa hawezi kuwa ndicho alichomaanisha Nashauri hizi Quotes ambazo haziakisi ukweli Wa aliyelitamka tuache labda kama wameingia humu J F watu wenye bongo duni( small minds
Hebu tupe tafsiri ya neno "kichaa"
 
kitendo cha Rais John Magufuli kujipambanua mwenyewe kuwa yeye ni KICHAA inatosha kabisa kuamini kwamba Tanzania hatuna RAIS .
Ni mpumbavu pekee atayelikataa hili!Akina Jerry Muro,Paul Makonda na wengine nao wanajitahidi kumridhisha KICHAA aliyewateua!
 
Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, "nimewapa hela wakati hawakustahili". Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara "kwa heshima ya Wasira", na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.

Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti inayopitishwa na bunge.
Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu nae wamwambie, kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asitugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili".
Mkuu kumzungumzia magufuli ni kupoteza muda,huyo ni Rais wa hovyo kuwahi kutokea,na hadhi ya urais,halafu ndo rais sasa ni hatari sana,ngoja amalize kununua wapinzani,kuna siku atakuja kusema "Mtu yeyote ambaye si mwana CCM ahame Tanzania". Huyu ni kichaa hasa kama alivyokiri mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe unachukulia hapa tuna Rais anaye elewa heshima ya dhamana aliyopewa ?

Brain yangu sasa hivi ipo kwenye Autopilot mpaka tutakapo mpata Rais sio rais tuliye naye sasa
Mtu anakiri hadharani ni Kichaa unaona dogo hilo ?

Asalalee!
Mkuu Tanzania iliuvaa mkosi kabisa! Halafu kuna mijitu inashinda humu ikimsifia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, "nimewapa hela wakati hawakustahili". Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara "kwa heshima ya Wasira", na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.

Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti inayopitishwa na bunge.
Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu nae wamwambie, kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asitugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili".
Mawazo yako ya kichizi, JPM OYEEE
 
Tumemkabidhi hazina muache aseme,kwani we unahisi anatoa mfukoni mwake?
mbona mnapenda kujijaza hasira kwa tofauti tu ya tafsida na vivumishi tu
 
Rais Magufuli amekuwa akihutubia mara kadhaa na kuacha maswali mengi kwa hadhira anayoihutubia.
Awali kulikuwa na kauli "wakati nakulipa mshahara". Alikuwa akiitumia kufanya watumishi wafuate mawazo yake tu. Mfn. Unamtangaza mpinzani kashinda uchaguzi wakati nakulipa mshahara.
Pili, "nimewapa hela wakati hawakustahili". Hii imetokea huko Ukerewe akifafanua kuwa Ukerewe hawakustahili mradi wa maji ila ni hisani zake.
Tatu, akiwa Musoma anasema anawajengea barabara "kwa heshima ya Wasira", na sio sababu Bulaya amewasilisha hoja bungeni.

Katika utata kama huu utaona anajisifu kuwa yeye ndo anaamua fedha iende wapi na sio bajeti inayopitishwa na bunge.
Pili anazifanya fedha za Tanzania kuwa kama mali yake kuwa atoe kama fadhila.
Naomba waliokaribu nae wamwambie, kazi yake ni kuleta maendeleo na sio kujifanya anatoa msaada. Na akizingua tutamtoa tutaweka mwingine.
Pia asitugawe maana watu wa Ukerewe wanastahili kama wanavyostahili watu wa Chato au Mwanza maana wote ni raia wa Tanzania na wanalipa kodi kwa mujibu wa sheria kwahiyo maendeleo yoyote ni haki yao kupata.
Wito akiendelea na kauli hizi TRA watapata shida sana kukusanya kodi maeneo ambayo "hayastahili".
....hizo kauli ndizo zinazomjenga hofu hadi awekewe ulinzi mkali kuzidi hata ule anaopewa Kim Jong-un!
 
Narudia tena TRA watapata tabu sana kukusanya kodi maeneo yasiyo stahili na usishangae sehemu zenye rasilimali wakikaza rasilimali zitumike kwao tu na sio kwa Tanzania mpya
 
ni kweli hakuna kama magufuli maana toka dunia imeumbwa huyu ndiye rais pekee ambaye amekiri hadharani kuwa ni kichaa na anachagua vichaa wenzie kuwa viongozi
Ongeza na hili, "kama yeye ni mshenzi, mimi ni mshenzi kuliko yeye"! Hivi hii inatokea kwa bahati mbaya au ni ulevi wa cheo?
 
Back
Top Bottom