Rais Kikwete yuko mapumzikoni Serengeti

Status
Not open for further replies.
Juzi nimemuona mutoto wa mwarabu mwenye vitalu akikatiza arusha kwenda kule..tegemea akina MONG'O kuhamishwa tena.

:biggrin1: mwarabu na kikwete wako serengeti wote lazima kuna dili ya wanyama inaendelea huko....mheshimiwa si akapumzike kwao bagamoyo...atauchie mji wetu..
 
Hapo atakuwa ameenda ku consume his own goods, Kwa watalamu wa Uchumi nazani wataelewa, Kuna ile process ya Producer kuwa ndo buyer mkuu wa product au service yake. so mkuu kule serengeti na ile hoteli yake anacho fanya ni kununua huduma yake mwenyewe, sambamba na kupanga dili za kutorosha Twiga nje
 
yaani watanzania watu wa ajabu sana baada ya kufuatilia maisha yako magumu uyatatue unafuatilia maisha ya kikwete ambayo hadi kufa kwako hutayapata wala kuyakaribia . muda huo wa kufuatilia maisha ya kikwete kwa nini usiutumie kutafuta hela ndio maana mnakufa masikini. sasa ameenda kupunzika je wewe inakuhusu? au ulitaka asipunzike?
Wee inafanya nn jf saa hizi na huu ni muda wa kazi mnafiki utamjua tu. Umemaliza kazi? Au unasema wenzio tu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wee inafanya nn jf saa hizi na huu ni muda wa kazi mnafiki utamjua tu. Umemaliza kazi? Au unasema wenzio tu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

mkuu hajuwi anatumia kodi zetu anapopumzika
hajuwi kuwa maamuzi mabaya ya rais wake ni hatari hata kwake

kupumzika sio issue
issue anapumzike wakati wananchi tunahali mbaya!
 
attachment.php
 
yaani watanzania watu wa ajabu sana baada ya kufuatilia maisha yako magumu uyatatue unafuatilia maisha ya kikwete ambayo hadi kufa kwako hutayapata wala kuyakaribia . muda huo wa kufuatilia maisha ya kikwete kwa nini usiutumie kutafuta hela ndio maana mnakufa masikini. sasa ameenda kupunzika je wewe inakuhusu? au ulitaka asipunzike?

Yaani wewe jina lako na ulivyo nafikili mnafanana.
 
yaani watanzania watu wa ajabu sana baada ya kufuatilia maisha yako magumu uyatatue unafuatilia maisha ya kikwete ambayo hadi kufa kwako hutayapata wala kuyakaribia . muda huo wa kufuatilia maisha ya kikwete kwa nini usiutumie kutafuta hela ndio maana mnakufa masikini. sasa ameenda kupunzika je wewe inakuhusu? au ulitaka asipunzike?

Lazima ituhusu sie tuliompangisha pale magogoni kwani yeye na familia yake wanaishi kwa jasho letu hivyo ni lazima tujue jinsi anavyofuja kodi zetu; kwani matumizi yake makubwa na mabaya yanatuathiri sisi wananchi kwa kuongeza mfumuko wa bei wa mahitaji yetu!!
 
Likizo ya mwalimu ni kuchoma chapat na vitumbua ili maisha yaende..likizo ya rais ni kwenda kutalii serenget kwa kutumia kodi ya mwalimu aliyonunulia ngano na mafuta
 
Ameenda mapumziko kwani amesha maliza kutuma msg za kuhamasisha sensa? maana aliongea na taifa tulimsikia kuwa na yeye anapambana na kutuma msg za kuhamasisha sensa. walioko jilani naye wamesha mwambia kuwa sensa imekuwa mtihani? zaidi ya 80% ya waislam hawakushiriki kwahiyo ushawishi wake utakuwa haukuwaendea waislam.
 
Kama ni kweli basi atakua amekwenda kupunguza Stress za waislamu wenzake kumgomea sensa!
 
Rais anahitaji mapumziko.Uongozi ni kazi ngumu sana kuliko tunavyofikiria wakati tunang'ang'ania na kutumia mbinu mbali mbali kuupata. Kwa vyovyote vile akili nayo inataka space ili kujipanga na kusogeza mambo mbele.

akili za mbayuwayu au za kwake zipumzike?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom