Rais Kikwete ulimwelewa Dk. Slaa?

Suala si kukanusha tu, unakanushaje matters a lot. Mnakumbuka?????? Hawa watu wa EPA siwajui na wala sijawahi kukutana nao......!!!!!!
My take, mtu usiyemjua utajuaje kama umewahi kukutana nae au la? Mimi sijawahi kukutana na Obama kwasababu namjua Obama ni nani, na nikikutana naye nitajua kuwa nimekutana nae.
By the way, napita tu
 
slaa naye ni mtu wa mitaani tu. kwani uongo? what is so special kwa slaa? kuasi upadre? kuiba wake za watu? au kujikopesha ruzuku?

 
ama kweli nimeamini nyie ni MBWA.


Tulikosea sana 2005


Hao hao watu wa mtaani tunamfanya asilale...

Na kwa hilil hachomoki, mwakani ana kesi ya kujibu baada ya kuwa mbangaji wa nyumba ya watu wa mtaani

wananchi hatukukosea tulimchagua ambaye hakutangazwa!! hili halituumi sana!!

JK ni mtu asiyejitambua hivyo msipate shida na huyo mtu

Kikwete janga la taifa

Ritz,
Mbona alijibu alipokuwa DC ingawa alikwepa swali? Si angenyamaza tu kama ana mambo mengi ya kuwatumikia wananchi?
By not answering he has answered a lot. We now believe he went to China to save his son Ridhiwani.

ukiona mtu anajibu swali kwa gadhabu na hasira ujue kunakaukweli fulani, baati mbaya bado ajajibu swali, tunachochea kuni mbichi tukisubiri majibu.

Familia nyingi zinajuta

Tatizo la mzee wetu huwa kuna kipindi anajisahau na hii ni kutokana na kukaririshwa maneno ya kuongea.

Jukwaa hili siku hizi mimi ni msomaji tu, ila wewe umenifanya niandike, hivi ndugu yangu ukiwa na akili zako timamu ulimpigia kura Kikwete?


 

Ewe pungunaim katazame kwenye pc jinsi usivyosomeka, jifunze kuandika kwa paragraph, kuweka space kwenye full stop, coma zako ujuwe pa kuziweka.

Jifunze namna ya kutumia coma:

Mswahili akipata m.atako hulia mbwata.
Mswahili, akipata m.atako hulia mbwata.
Mswahili akipata, m.atako hulia mbwata.
Mswahili akipata m.atako, hulia mbwata.
Mswahili akipata m.atako hulia, mbwata.

Kama unajuwa kusoma rudi rudia hizo sentensi mpaka uelewe nguvu ya coma.
 
Makene maswali mengine anayojiuliza hata Mtoto ( kama anae) angeweza kumjibu.
 

Kwa nini wamzungumzie huyo? Hebu taja watoto wa rais alotangulia na utendaji wao wakati baba yako u madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…