Rais Kikwete safarini UK na China

Rais Kikwete safarini UK na China

profkobayashi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
224
Reaction score
71
Sina hakika akishatoka UK anaunganisha China au anarudi kisha china

Nimeona kwenye Africa news 24

Naona hizi ni farewell trip tena maana kabakisha miezi 12 tuu
 
Kwa jinsi kodi yangu inavyotumika vibaya nitahakikisha NAKWEPA KODI KWA UWEZO WANGU WOTE. NGUVU ZANGU ZOTE NA AKILI ZANGU ZOTE. Si uungwana watoto wa shule kuzidi kukaa chini wakati globetrotter Kikwete anajilipa posho nyingi kwa safari zisizo na tija. Haikubaliki
 
Hebu mwacheni jamani huyo mdengereko aendelee kuliwa maana ye mwenyewe alisema "usipotaka kuliwa huli"...
 
Huyu jamaa ni balaa halafu yeye ni Ulaya tu hapa Afrika hataki kwenda ziara
 
Watanzania tuna mkosi kwa kumchagua Rasi mkosi.
 
Kwa jinsi kodi yangu inavyotumika vibaya nitahakikisha NAKWEPA KODI KWA UWEZO WANGU WOTE. NGUVU ZANGU ZOTE NA AKILI ZANGU ZOTE. Si uungwana watoto wa shule kuzidi kukaa chini wakati globetrotter Kikwete anajilipa posho nyingi kwa safari zisizo na tija. Haikubaliki

Halafu huko vijijini ni patashika ma-DC wanakamata na kuwasweka ndani wakulima na wavuvi walalahoi kwa kushindwa kuchangia michango ya maabara ambazo da Gama ameagiza ziwe zimekamilika ifikapo Desemba. Yaani ninakubaliana na m-jf mmoja aliyesema kamwe hatapenda watoto wake wajiite watanzania.
 
Back
Top Bottom