Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Hebu mwacheni jamani huyo mdengereko aendelee kuliwa maana ye mwenyewe alisema "usipotaka kuliwa huli"...
Fafanua kidogo kaka mkubwa
Hebu mwacheni jamani huyo mdengereko aendelee kuliwa maana ye mwenyewe alisema "usipotaka kuliwa huli"...
Dr.Slaa apokelewa Marekani kama mfalme.Fafanua kidogo kaka mkubwa
hoja yako ipo wapi? Mnahangaika sana bandugu
hoja yako ipo wapi? Mnahangaika sana bandugu
Sina hakika akishatoka UK anaunganisha China au anarudi kisha china
Nimeona kwenye Africa news 24
Naona hizi ni farewell trip tena maana kabakisha miezi 12 tuu
Dr.Slaa apokelewa Marekani kama mfalme.
teh teh teh! Kwi kwi kwi
Yangu macho, soon atavunja record