Kama kawaida yake, wiki hii Rais kikwete anaelekea marekani kuaga.
Habari zinasema kwamba rais atakuwa huko kwa wiki moja, na atawaaga wakuu wa nchi katika mkutano wa umoja wa mataifa, UN.
Hii itakuwa safari ya 410 katika uongozi wakee!!.
Wao wakimaliza mihula yao huwa wanakuja kuaga?
Unajua hawa mafisadi wa CCM wamegeuza umma wote wa tanzania kuwa kuwa na fikira za kifisadifisadi na mgando- yaani ukiona vitu ambavyo watanzania wana-support na ku-justify ufanyikaji wake unabaki mdomo wazi. Eti kuaga, kusudi iweje?

Hv ni lazima aende yeye?? Maajabu haya nchi nyingine wamewatuma mawaziri wadogo
Tangu lini Marekani wakawa na rafiki wa kudumu?
Kama kawaida yake, wiki hii Rais kikwete anaelekea marekani kuaga.
Habari zinasema kwamba rais atakuwa huko kwa wiki moja, na atawaaga wakuu wa nchi katika mkutano wa umoja wa mataifa, UN.
Hii itakuwa safari ya 410 katika uongozi wakee!!.
mwaka mmoja una siku 360.25 kwahiyo mheshimiwa ajalala nyumbani yapata mwaka na ushee daaaaaaaaaaaaah!!!!!!!!!"""""""!!!!
HAPANA si mwaka mmoja tu {umepunguza siku},
uelewe kila akisafir ukaa huko nje kwa wastani wa siku 5; hivyo idadi ya siku alizokaa = 5*409 unapata jumla ya siku 2045 ambapo ni takriban miaka 7 aliyokaa nje KWA KULIKIMBIA TAIFA LAKE.
Nipo tayar kusahihishwa.