Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Mmemsakama kuwa awafukuze uwaziri mashosti wake , ameona afadhali akimbie ili upepo upite na akirudi mtakuwa mmesahau kuwa alitakiwa awafukuze kazi genge la wakina Kawambwa na Malima,kama mlivyosahau kuwa Alhaj Juma Kapuya alitakiwa kutiwa mbaroni kwa kumbaka mtoto wa watu na kumuambukiza ukimwi!!!! Mkweree hawezi kutoa maamuzi magumu.
Kwani JK kaenda kufia nje ya nchi?Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa
Bavicha bana! Wewe humjui Mandela kaa kimya mara nyingi tu kaishaenda kutibwa Ulaya.
Onyo: thread hii si nzuri kwa afya yako kama unasumbuliwa na magonjwa ya hasira, pressure, kukosa uvumilivu na kadhalika.
Tuna imanii na mkweelee hoyaa hoyaa hoyaaaa!!...
Kwani huwa anakaa na rubani kwenye cabin?Mshuza2 said:Nakumbuka kuna jamaa alishawahi kusema muheshimiwa asipojua kuendesha ndege atakua na kichwa kigumu sana..kwa safari hizi..
haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
Ni ndoto kwa Rais wa nchi za kiafrika kujigharamia safari maana hawezi kuwalipa walinzi wake posho ya safari maana ni watumishi wa serikali na hawapaswi kumfanyia mtu kazi binafsi. Kwa vyovyote gharama inatoka kwetu walipakodiWengine huwa wanasema 'ningekugongea likes 1m'. Hoja yako ni ya msingi sana katika suala zima la uzalendo maana Afrika Kusini hawajafikia USA lakini wanawakaribia kwa matibabu. Huenda suala sio check-up ila kuna kingine lakini wanatudanganyia hiyo.
Kwa wale watakaokuwa wanalalamikia hili suala basi wataweza kupozwa endapo wataambiwa anagharamia hii safari mwenyewe lakini kama ni pesa za kodi za Watanzania basi kuna haki na haki na haja ya kuhoji.
Huwa naanza kuamini uislamu ni dondandugu, hapa mnamtetea huyu mtalii kwa sababu ni wa deen yetu, lakini ukifika uchaguzi shura yote ya maimamu inaamuru watu wote wa deen yetu tumpigie kura Profesa msomi kuliko wote na Bingwa wa uchumi namba one Dunia nzima Profesa wa ukweli Ibrahim Haruna Pumba.
Nimekosa kitufe cha 'LIKE' lakini ipokee huko ulikoEee mwenyezi Mungu nakuomba uipindue ndege ya raisi ikiwa huko angani, khaaa!