Rais Kikwete safarini Marekani

Ina maana hatuna wataalamu wa tiba wanaoweza kumtibu raisi wetu? Ningejisikia fahari kusikia amelazwa muhimbili. Kama muhimbili si chochote na wala si lolote hawa wanaojiita Ma Dr. waliosomea muhimbili (Including Kigwangala) tuna haja gani ya kuamini udaktari wao?
 
Kama ni medical checkup tu,sekta ya afya kwa bongo kupiga hatua itachukua muda sana kuimarika. Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Viongozi wengi wanatibiwa nje ya nchi. Hawawez kuona umuhimu wa hospital za bongo na afya kwa ujumla wake bongo. Mungu atusaidie maana siasa ndio inaongoza/ina determine maendeleo ya sekta mbalimbali kwa Tanzania ikiwemo sekta ya afya. Wanasiasa hahao wanatibiwa nje
 
haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa
dubai.

soma kilichoandikwa ndo uandike
 
Heheheeeee,,,,halafu mnategemea vifaa tiba vipatikane hospitali??tufuteni na vyuo vya udaktari sasa
Kwanini viongozi wa kiafrika wanapenda kwenda Nje kuche afya zao????
Yaan na kwenye kampnei mnarubuniwa na hawa wanasiasa???so sad,
uzuri huwa wanaenda wanakenua,wanarud wamefumba macho,wote tutadanji,
 
Si angeenda tu hapo Oman au Saudia? Kwanza ni 'ndugu' zetu na ni karibu kidogo! Sasa Marekani kote kule... Halafu hawa wazungu siyo wa kuwaamini kabisa!!!
 
Maskini Tanzania. Mara ya mwisho nilisikia kuna mawaziri mizigo. Hivi ni mawaziri kweli?
 
Hata Nyerere aliondoka hivi hivi lakini akarudi akiwa kwenye sanduku!
 
Onyo: thread hii si nzuri kwa afya yako kama unasumbuliwa na magonjwa ya hasira, pressure, kukosa uvumilivu na kadhalika.

Tuna imanii na mkweelee hoyaa hoyaa hoyaaaa!!...
 
Hivi kwann tusijenge ikulu nyingine marekani huyu mzururaji akakae huko?

wiki moja trip zaidi ya tano?

Hivi marekani hawana sera ya kukamata wazururaji kama hawa?

Hahahaaaaa sheria ya kukamata wazururaji haina meno akiwa safarini Mkuu! nimecheka sana!
 

Hahahaaaaaa you people plz save my ribs lol! Eti Mkuu wa mkoa kachoka kumpokea hahahaa
 
Nyerere Miaka 24 Ikulu safari 66 nje ya TZ
JK miaka 8 Ikulu safari 361 nje ya TZ

Anayetetea safari za JK nje ya nchi ana matatizo ya kufikiri!!

Lazima naye ni mzaramo au mkweleee
 
Mkikosa hoja mnaanza viroja.

Umtuwe Rais wetu amuepushie mdege mbaya. Uliokosa haya wewe wala kujuwa vibaya. Kuna mtu anamuombea mwenzake kwenda jela? Unafikiri Mandela alipenda kwenda Jela?

Bila shaka wewe ni mwajuma ndalandefu! upstairs hakuna kitu, kaoshe sufuria ndicho unachofahamu silly woman!
 

Huwa naanza kuamini uislamu ni dondandugu, hapa mnamtetea huyu mtalii kwa sababu ni wa deen yetu, lakini ukifika uchaguzi shura yote ya maimamu inaamuru watu wote wa deen yetu tumpigie kura Profesa msomi kuliko wote na Bingwa wa uchumi namba one Dunia nzima Profesa wa ukweli Ibrahim Haruna Pumba.
 
waziri wa kusafiri kama kucheki afya angekuja mount meru hospital atakuwa ameenda kwa malaya wake
 
Pole sana JK kwa kuumwa maana juzi hapo ulifanya safari nyingi mfululizo.
Nahitaji namba ya Jakaya nimwagize smartphone ebay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…