MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 849
Imebidi niulize hili swali. Jamani JK ni raisi au bado waziri wa mambo ya nje? Inavyo onekana jamaa yupo more interested in public relations na mahusiano yake na viongozi wa nje badala ya yanayo tokea nchini kwake. Ana safiri kuliko hata Membe aliye muweka kushugulikia mambo ya nje. Inaelekea ali faidi kweli uwaziri wa mambo ya nje mpaka leo hii anaona aendelee.
Ina sikitisha mambo yote haya yanaendelea nchini lakini kiongozi wa taifa hamalizi wiki kashaenda nje. Hata Obama anaye ongoza taifa kubwa ali subiri miezi kadhaa kabla ya kusafiri kwenda nchi za nje na hiyo ilikuwa kuhudhuria mkutano wa G20 na siyo kutalii kama JK anavyo fanya. Hizo safari za kila siku nje ana sema nazo zina manufaa kwa taifa lakini bado hatuja ona manufaa yake. Ni kama vile ana taka kushindana umaarufu na viongozi wa magharibi na kutaka kuonekana kwenye vyombo ya habari vya kimataifa.
Raisi yoyote jukumu lako la kwanza na wajibu wako wa kwanza ni kwa wananchi walio kuchagua. Jukumu la JK ni kwa watanzania milioni 40 wanao tegemea kuongozwa. Lakini inavyo onekana JK ana priorities zingine. ALi kimbilia kuchukua uwenyekiti wa AU wakati wizara yenyewe ya mambo ya nje ilikua haina bajeti ya kutosha kufanya hivyo. Aka chukua uwenyekiti AU wakati taifa lilikua lina hitaji ajikite zaidi kwenye home affairs.
Kikatiba raisi ni raisi akiwa ndani ya nchi yake. Akisha ondoka na kuvuka mipaka ana achia asilimia kubwa ya nguvu alizo nazo kwa anaye mfuatia kwa cheo. Raisi akiondoka kutoka ardhi ya Tanzania nchi inakua na raisi mwingine temporarily hata kama hamtangaziwi fulani ata chukua majukumu ya raisi kwa muda fulani. Sasa kama JK mara nyingi hayupo nchini si sahihi kusema kuwa watanzania hatuongozwi na JK bali watu waliyo chini yake? Je si sahihi kusema raisi anakua mzivu na kuacha kazi ambazo alipaswa kufanya yeye kwa wengine?
Wamarekani wana kifurushi fulani sikumbuki jina vzuri nadhani wanaiita "football" ambalo hubebwa na mwanajeshi kila raisi anapo enda. Hiko kifurushi kina msaidia raisi kuendesha nchi hata awe nje ya nchi. Kifurushi hiki kina mrufusu kutoa maamuzi yoyote hata akiwa ndani ya dege la Air Force. Hata Warusi wana kitu kama hicho. Ninacho jaribu kuonyesha hapa ni kwamba hata wenzetu wanajua nguvu za raisi ni akiwa nchini kwake ndiyo maana wakawa na kitu kama hicho ili kum saidia raisi walau kutoa maamuzi akiwa hayupo nchini. Tanzania tuna kitu kama hicho? SIDHANI!
Inavyo onekana sasa kazi kubwa ya Jk aliyo fanya tokea aingie madarakani ni kuteua tu watu katika nafasi mbali mbali. Akijiuzulu huyu akistaafu yule basi yeye ana chagua na kuapisha huyo anachukua bakuli lake na kwenda zake nje.
Sioni ubaya JK akaachia baadhi ya safari aende waziri wake wa mambo ya nje au manaibu wake. Si kawa teua kwa ajili hiyo? Sasa kwa nini ana fanya kazi zao zote? Hata Makamu wa raisi anaweza kwenda kwenye baadhi ya mambo kama kuna hitajika cheo kikubwa zaidi ya waziri. Kuna safari amabazo ndiyo ni lazima mkuu atu wakilishe lakini siyo zote Kuna mikutano ya kimataifa ambayo ni vuzuri akaenda mkuu wa nchi lakini siyo zote.
JK tulia nyumbani. Nyumba ina waka moto baba mwenye nyumba kila siku una kimbia kwenda kuomba msaada badala ya kuchota maji uzime moto. Tume kuchagua kama raisi wetu siyo waziri ya mambo ya nje.
Kwa anayeona nimemuonea JK sawa lakini haya ni maoni yangu mimi.