Huyo raisi nae, hizo si angeacha waziri wa afya ndio azundue?
Endelea kutuambia yananayojir. hyo john ona atakavyojichekesha kwa MNENE
Ni jambo zuri na la maendeleo kwa taifa letu!
Huyo raisi nae, hizo si angeacha waziri wa afya ndio azundue?
Itachukua muda mrefu sana hawa jamaa wa CCM kubadilika kwani fikra zao zinaonye wao wana haki miliki ya hii nchi,wananchi wengine au wale wapinzani wa chama chao ni wageni na wamekuja kuvuruga amani ya nchi yao!Ni kweli kabisa! ila hali ya ccm kuvaa kichama kwa jambo km hilo ni kero..wengine wana aleji na hayo mavazi yao, ni kwanini mambo yakimaendeleo tusiweke tofaut zetu mbal