Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,742
Hata sikusikiliza,nihabarisheni kasemaje?
bonge la hutuba tupo hapa watu wanashangilia ile mbaya mheshimiwa ni rais wa karne
Hata sikusikiliza,nihabarisheni kasemaje?
Kwa hoja ipi ya maana?bonge la hutuba tupo hapa watu wanashangilia ile mbaya mheshimiwa ni rais wa karne
Vijana? ba nso, wewe una umri gani?Tatizo vijana wa sasa hatujui Mambo muhimu na pili watanzania hatuna uzalendo kabisaa. Mie si mfuasi wa vyama vya siasa ila ninajua kumsikiliza kiongozi wa taifa langu ni muhimu sana. Tuwapende na kuheshimu viongozi wetu tusijechekwa na mataifa mengine
Nyerere alipokuwa anahutubia kila mtu alikuwa na hamu ya kusikiliza anasema nini, JK hasemi la maana hivyo naturally watu hawawezi kumsikiliza. Hata UN ukiwa na pumba kama JK wakati unahutubia ndio watu wanatoka kuvuta sigaraTatizo vijana wa sasa hatujui Mambo muhimu na pili watanzania hatuna uzalendo kabisaa. Mie si mfuasi wa vyama vya siasa ila ninajua kumsikiliza kiongozi wa taifa langu ni muhimu sana. Tuwapende na kuheshimu viongozi wetu tusijechekwa na mataifa mengine
Vijana? ba nso, wewe una umri gani?
Tatizo vijana wa sasa hatujui Mambo muhimu na pili watanzania hatuna uzalendo kabisaa. Mie si mfuasi wa vyama vya siasa ila ninajua kumsikiliza kiongozi wa taifa langu ni muhimu sana. Tuwapende na kuheshimu viongozi wetu tusijechekwa na mataifa mengine
Nyerere alipokuwa anahutubia kila mtu alikuwa na hamu ya kusikiliza anasema nini, JK hasemi la maana hivyo naturally watu hawawezi kumsikiliza. Hata UN ukiwa na pumba kama JK wakati unahutubia ndio watu wanatoka kuvuta sigara[/QUOTE
Yaweza kua kweli ila sisi kama raia wenye uzalendo na heshima kwa taifa hatuna budi kumsikiliza kiongozi wetu tuliempa kazi ya kutuongoza.