Rais Kikwete kusimamia utekelezaji wa sheria sio kuchukua maamuzi magumu

carism

Senior Member
Oct 7, 2014
147
44
Kimsingi kiongozi yoyote awaye kusimamia na kutekeleza sheria iwe kwa mujibu wa katiba au kwa mujibu wa mpendezo ya bunge siyo kuchukuwa maamuzi magumu. Maamuzi magumu ni pale unapoamua kupora Mali za summa au kudhurumu haki za wananchi unaowaongoza kupitia hujuma kama za escrow, EPA, Meremeta Richmond, nk. Kikwete chondechonde yekeleza wajibu chukuwa hatua.
 
Kwanza umeandika ubwabwa hebu soma tena ulichoandika ili ueleweke vizuri.
 
Kwani yeye ni wewe? Let him do his way not your way! Aibu on You kwa kukosa cha kuchangia unaanza kumtazama usoni aliyeleta mada
 
Back
Top Bottom