Rais Kikwete katika picha matukio mbalimbali

Rais Kikwete katika picha matukio mbalimbali

Kikwete hana formula ya kuvaa, na hafuati any known etiquette.
 
Hebu weka picha iliyokufanya kusema hivyo...

Mifano mingi tu, angalia hizo picha mbili hapo chini.Kawaida ukivaa suti na tai tai inatakiwa iwe darker kuliko shati lako, Kikwete sehemu nyingine anavaa tai iko lighter kuliko shati, sehemu nyingine anavaa shati jeupe na tai offwhite iliyo karibu na nyeupe kiasi unashindwa hata kuona kama kavaa tai.

Sehemu nyingine kaenda uwanja wa mpira kupokea kombe la dunia anaongea na Leodgar Tenga katinga track suit na bonge la u-moccassin wa kiofisini ofisini kishua shua.

Hivi Ikulu hamna mtu aliyewahi hata kushika copy ya GQ? Huyu rais anaaibisha watu, ni bora hata angeamua kuting vi Kaunda / Safari suti tungejua amevaa suti za kiafrika. Ukishavaa suti za magharibi inabidi ufuate style zinazokubalika za uvaaji, ama sivyo atafute mtindo wake distinct.

i751_kikwetetz.jpg

i1209_Kikweteswearingin.jpg
 
Bluray, sina la kuongeza katika hilo! Labda katika awamu yake ya mwisho atavaa inavyostahili... Sijui uzoefu wake wa kuvaa alipokuwa waziri kautupia wapi?
 
Hebu acheni nyinyi. Kwani toka lini Kikwete amekuwa fashionista in chief? Mambo ya ku color coordinate si ya wanaume.
 
Hebu acheni nyinyi. Kwani toka lini Kikwete amekuwa fashionista in chief? Mambo ya ku color coordinate si ya wanaume.

This is not about one being a fashionista or not, hizi ni fundamentals za tie and suit.

Na hili ilinatufungulia mlango kuona thinking ya Kikwete, rais ambaye ana resources zote kumuweka kidampa mmoja anayejua vitu ampangie nguo, anajivalia shaghalabaghala.

Rais anaweza kwenda Pris Club ku negotiate deals za national interest watu wanaotumia psychology, body language na dress kumsoma mtu wakajua huyu mshamba mshamba tunamburuza tu.
 
Huko Paris club kama akishusha utirio wa uhakika na kukata ishu hawata maindi mambo madogo madogo kama hayo ya color coordination. Watakuburuza kama ukiwa airhead.
 
ni mapito tu, 2015 ndio mwisho wa kujidai (ooooooooopppssssss kama hataongeza muda wa kujadili katiba)
 
Back
Top Bottom