Rais Kikwete katika picha matukio mbalimbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete katika picha matukio mbalimbali

Discussion in 'Jamii Photos' started by Invisible, Oct 5, 2009.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Nimeona nianzishe topic hii iwe rahisi kupata picha za mheshimiwa Rais ili tunapotaka reference ya matukio kadhaa yanayomhusisha tuwe na kabati letu la kuchukua picha.

  [​IMG]

  Tarehe 14 Disemba, 2005: Jakaya Mrisho Kikwete (aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na ushirikiano wa kimataifa wakati huo) akipiga kura yake kumchagua rais ampendaye huko Chalinze (kabla hajawa rais) ambapo naye alikuwa mgombea. Tume ya uchaguzi baadae ilimtangaz ayeye kuwa mshindi mnamo tarehe 20 Disemba 2005 kuwa rais wa serikali ya awamu ya nne.
  <center>
  [​IMG]
  Jakaya Mrisho Kikwete (mbele) toka Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa makini kusikiliza wakati wa mkutano wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza mshindi wa matokeo ya kura za Uchaguzi wa Rais na Wabunge Disemba 20, 2005 . Tume ilimtangaza Kikwete kuwa rais wa Serikali ya awamu ya Nne.</center><center>
  [​IMG]
  Baadhi ya wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia nje ya ukumbi baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kumtangaza Jakaya Kikwete kuwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Nne Disemba 20, 2005.</center><center>
  [​IMG]
  Mkereketwa wa CCM akiwa pembezoni mwa gari la CCM wakati wa hafla ya kumtangaza JK kama rais wa serikali ya awamu ya nne Disemba 20, 2005. Tume ilimtangaza Kikwete kuwa rais na kufuatiwa nderemo na vifijo
  </center>
  Mwaka 2005 katika kampeni zake:
  [​IMG]

  Umati uliomsikiliza siku ya mwisho wakati wa kampeni 2005
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  Picha hiyo ya Kijani akiwa ameinama iliwekwa kwenye tovuti ya gazeti la Uhuru ikiwa na 'File Name' - Kikwete-msanii (uhuru.info) na baada ya muda wa mwezi mmoja tovuti hiyo ilitoweka!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hii ndo picha ya kwanza officially?

  [​IMG]
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Akiwa bungeni kama Rais

  [​IMG]
   
 6. Susuviri

  Susuviri JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2009
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 3,713
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Doesn't look too good in the first photo.... in fact he looks sickly.... :(
   
 7. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #7
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Siku alipokutana na Rais Bush
   
 8. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #8
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Siku ya kuapishwa kwake:

  [​IMG]

  Standing on the ground (L-R)

  * Mwai Kibaki, President of Kenya
  * Robert Gabriel Mugabe, Executive President of Zimbabwe
  * Daniel Toroitich arap Moi, former President of Kenya
  * Benjamin William Mkapa, outgoing President of Tanzania
  * Jakaya Mrisho Kikwete, incoming President of Tanzania
  * Ali Hassan Mwinyi, former President of Tanzania
  * Yoweri Kaguta Museveni, President of Uganda

  Standing on the risers (L-R)

  * Bingu wa Mutharika, President of Malawi
  * Pierre Nkurunziza, President of Burundi
  * Festus Gontebanye Mogae, President of Botswana
  * Armando Emílio Guebuza, President of Mozambique
  * Levy Patrick Mwanawasa, President of Zambia
  * Meles Zenawi, Prime Minister of Ethiopia
  * Thabo Mvuyelwa Mbeki, President of South Africa
  * Paul Kagame, President of Rwanda
  * Omar Hassan Ahmad al-Bashir, President of Sudan
  * Joseph Kabila, President of the Democratic Republic of the Congo
  * Letsie III, King of Lesotho
   
 11. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #11
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hapa ni mwaka 2005 wakati wa kampeni zake kule Morogoro

  [​IMG]
   
 12. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160


  Mkuu hapo kwenye red. what is it supposed to mean?
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu umemsahau Mugabe kwa 'misifa'?
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hili pozi la kienyeji mno!

  [​IMG]
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Thanks mkuu
   
 16. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  i couldn't agree with u more
  may be he was sick on the day, who knows
   
 17. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #17
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hapa ni wakati wa kampeni zake 2005

  [​IMG]

  Hapa akiwa London mwaka 2007

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Oct 5, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Balozi Maajar akiwa na Rais Kikwete mwaka 2007 jijini London

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh baada ya 2010 atakuwa amevimba kama N'kapa
   
 20. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  ngoja niitafute ile aliyokuwa anampa pipi mtoto,au mwenye nayo aitundike hapa
   
Loading...