Rais kikwete katika picha akipanda mlima Kilimanjaro

Rais kikwete katika picha akipanda mlima Kilimanjaro

Tukio hili ni la kuonyesha kwamba kuna watu wanamzushia kwamba afya yake ni mgogoro lakini pia kama madaktari wamemruhusu basi wameridhika na afya yake. Misukosuko iliyompata wakati wa kampeni inaonekana ilitokana na uchovu.

kila binadamu anaumwa ingawa kuna watu wanapenda kuongeza chumvi kwenye afya ya Rais kwa sababu za kisiasa.

janwani alianguka ،kwa uchovu، akiwa 55. Akaanguka tena akiwa 59+ Vijana wa jwtz aliowatuma kupandisha bendera ya miaka 50 hawaja fika. Akifika hiyo picha itakuwa fotoshop. Yote kwa Michuzi yana wezekana
 
The 1st presdaaa kutinga mlimani Kilimanjaro, jamaa anaendelea kuwa tofauti zaidi na watangulizi wake.
Huyu ndie JK, full of creativity.
He does more destructions than creations though except for issues which give him personal pleasures
 
huyo haendi mbali,check alivyo vaa.Sharobaro.
 
ig up presidaaa wa ukweliiiii.mungu akubariki na kukulinda
 
KAMA ANA MAGONJWA SASA ndio YATAAMKA!
Kilimanjaro si ya mzaha na vicheko bana.

Kama Kawaida. Anataka PICHA! I am sure ATAISHIA KITUO CHA KWANZA, kisha kurudi chini kwa gari maana barabara ipo. AKIFIKA UHRU PIKI, MIE NTATEMBEA KWA MIGUU KUUZUNGUKA MLIMA KILIMANJARO Kuanzia Marangu, Rongai, Siha hadi Marangu! Kilimanjaro siyo wa Kufanyia DRAMA!
 
Kupanda mlima kilimanjaro is not creativity, basi gen. sarakikya ndiye creative

Unajua hii ya Gen Sarakikya imenishtua kidogo. Is it a coincidence William amekosa kupita ubunge kwa tiketi ya chama then Mwenyekiti wa chama anapanda mlima na mzee Sarakikya? Isije ikawa ndio mambo yakupoozana; kidogo tutasikia William anakuwa mkuu wa wilaya kama ilivyokuwa kwa Nape. Just thinking; Maana JK kwakung'ata na kupuliza hajambo! Anyways safari njema huko mlimani.
 
Back
Top Bottom