Granta
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,082
- 6,425
Ulitaka aseme "jinsia"? au "jeans"?
Bora hata angesema BUKTA, huyu RAHISI wetu ni ovyo kabisa, mnafiki sana
Ulitaka aseme "jinsia"? au "jeans"?
Hahahahahaaaaaaaa! Na DJ Mbowe anaeenda kula uroda na wanawake Dubai na South Africa?Msanii ndio maana kaalika Wasanii wenzake
Kosa la Warioba ni kuendekeza njaa. Alivyoona mshiko wa CHADEMA ndo kajitoa kabisa ufahamuYaani kama Mzee wa watu angelijua kwamba kungelikuwa na fitna za kiwango cha juu namna hii - nafikiri asingelikubali hata kazi yenyewe ya kuongoza hiyo tume.
Swali langu ni kwamba hivi kwanini hawa wanasiasa wanataka kutuhadaa sana, je kama ni maoni ya wananchi kwanin walikua wanamkashifu mzee warioba wakisema takwimu zake sio za kweli? nakama yalikua ni maani ya wananchi kwann walikua wanamponda mzee warioba?nashanga na nashindwa kupata jibu sahihi je ni kweli asilimia tajwa ni maoni ya wananchi?
Kosa la Warioba ni kuendekeza njaa. Alivyoona mshiko wa CHADEMA ndo kajitoa kabisa ufahamu
Jana ilimpasa kuhudhuria,kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na kuhutubu vile. Mh. Rais,kwa sauti na namna wananchi walivyokuwa kimya muda mwingi,hakuridhishwa na mchakato na mambo fulani kutokuwepo kwenye Katiba inayopendekezwa.
Rais alionesha dhahiri kutoufurahia mchakato kwa kumwaga misemo na rai za mara kwa mara juu ya kila jambo kuwa na muda wake na kadhalika. Akadokeza na mkutano wake na TCD bila ya kupunguza kilichoripotiwa.
Rais akagusa akidi. Takwimu ikatolewa. Akaithibitisha akidi. Hakuwa na jinsi. Rais amepokea kilicho tayari. Kisingeweza kubadilishwa Jamhuri Dodoma.
Pamoja na kauli mbalimbali za jana,waelewa wamejua kuwa Rais hakufurahia mchakato. Hata kura ya maoni amesita kuitamka moja kwa moja. Mh. Rais alikuwa pale kupokea tu. Hakuwa na nafasi ya kusema au kufanya vinginevyo. Hakuwa na jinsi.
Wananchi wanauliza,mbona wawakilishi wote wa jana ni 'wetu' kama chama tawala?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Katiba ikipigiwa kura itapita utake usitake. CCM utawazidi kwa hoja lakini huwezi kuwazidi katika mbinu za wizi wa Kura.
hivyo Raisi aendelee na msimamo wake kuwa Katiba iwe mwaka 2016. Na Raisi ahakikishe ana usemi wa nani atamridhi kiti chake. hawa wanaomdharau wasiwe wamemshamyang'anya hata maradara ya kumuandaa mrithi
Kosa la Warioba ni kuendekeza njaa. Alivyoona mshiko wa CHADEMA ndo kajitoa kabisa ufahamu
Jana ilimpasa kuhudhuria,kukabidhiwa Katiba inayopendekezwa na kuhutubu vile. Mh. Rais,kwa sauti na namna wananchi walivyokuwa kimya muda mwingi,hakuridhishwa na mchakato na mambo fulani kutokuwepo kwenye Katiba inayopendekezwa.
Rais alionesha dhahiri kutoufurahia mchakato kwa kumwaga misemo na rai za mara kwa mara juu ya kila jambo kuwa na muda wake na kadhalika. Akadokeza na mkutano wake na TCD bila ya kupunguza kilichoripotiwa.
Rais akagusa akidi. Takwimu ikatolewa. Akaithibitisha akidi. Hakuwa na jinsi. Rais amepokea kilicho tayari. Kisingeweza kubadilishwa Jamhuri Dodoma.
Pamoja na kauli mbalimbali za jana,waelewa wamejua kuwa Rais hakufurahia mchakato. Hata kura ya maoni amesita kuitamka moja kwa moja. Mh. Rais alikuwa pale kupokea tu. Hakuwa na nafasi ya kusema au kufanya vinginevyo. Hakuwa na jinsi.
Wananchi wanauliza,mbona wawakilishi wote wa jana ni 'wetu' kama chama tawala?
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Sorry sijakuelewa Mpwa, you mean DJ Mbowe amekwenda kukufanyeje?Hahahahahaaaaaaaa! Na DJ Mbowe anaeenda kula uroda na wanawake Dubai na South Africa?