Rais Kikwete awasili jijini Kampala kuhudhuria mkutano wa EAC


R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Points
2,000
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 2,000
[h=2]Rais Kikwete awasili jijini Kampala kuhudhuria mkutano wa EAC....Maada kuu watakazoongelea ni pamoja na Sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki[/h]
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe nchini Uganda kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki.
*****************

Wakuu wa nchi zinazounda jumuiya ya Africa Mashariki wanakutana leo tarehe 30 Novemba huko Kampala, Uganda.

Wakuu hao ni pamoja na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, Yoweri Mseveni wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda, Pierre Nkuruzinza wa Burundi na Uhuru Kenyatta wa Kenya.


Masuala watakayozungumzia leo ni pamoja na soko la pamoja, umoja wa forodha, shirikisho la kisiasa na umoja wa sarafu ambapo leo watatia saini mkataba wa kuwa na sarafu moja.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,852
Points
2,000
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,852 2,000
mkuu R.B leo umenichanganya kidogo au hii post ya zamani?
mbona tulitengwa au Tz tumejialikisha?
 
Last edited by a moderator:
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
2,248
Points
1,225
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
2,248 1,225
Mbona wote uwanjani wanamshangaa? Utafikiri obama alipotua bongo
 
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Messages
10,242
Points
2,000
mcubic

mcubic

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2011
10,242 2,000
Kweli hatutoki EAC na kama kutoka tutakuwa wa mwisho tena kwa hiyari yetu...sisi ni wanachama waaminifu wa jumuia hiyo tangu enzi na enzi hata kama wanatubagua....
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,677
Points
2,000
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,677 2,000
wamejawa na furaha iliyopindukia na hii ni fahari kubwa
 
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Messages
10,876
Points
2,000
Mr. Zero

Mr. Zero

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2007
10,876 2,000
bona siku hizi anapenda kuvaa suti za kachumbari??
 
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
6,294
Points
2,000
R.B

R.B

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
6,294 2,000
Naomba aonane na wanajeshi waliotimuka wa m23 kwenye kambi za jeshi la uganda
 
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
2,248
Points
1,225
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
2,248 1,225
naomba aonane na wanajeshi waliotimuka wa m23 kwenye kambi za jeshi la uganda
walivyo na hofu ya jwtz, wataweza wavuke mpaka na kuingia darfur kuliko kukutana na jk
 
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2010
Messages
4,562
Points
1,500
S

Sometimes

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2010
4,562 1,500
Hatoki mtu hapa! (TZ kwenye EAC)
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,177
Points
2,000
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,177 2,000
Tulikuwepo tupo na tutaendelea kuwepo by jk.
 
VITA VYA KAGERA

VITA VYA KAGERA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Messages
435
Points
0
VITA VYA KAGERA

VITA VYA KAGERA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2013
435 0
Hatoki mtu hapa na ujirani mwema {tz, bur & drc} kama kawa.
 
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
343
Points
0
M

master eagle

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
343 0
Kila la.kher mkuu wetu tunakuamini sana
 
pixel

pixel

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Messages
1,628
Points
1,195
pixel

pixel

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2012
1,628 1,195
mbona simuoni mwenyeji wake M7? siku akija M7 dar,tumpe kova akampokee.
 

Forum statistics

Threads 1,285,885
Members 494,778
Posts 30,877,658
Top