Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya 13 wapya, ahamisha wengine 7

Hivi wataalamu wa sheria, hakuna kifungu kinachoweza kutusaidi kuzuia teuzi kama hizi!?
Inasikitisha na kuaibisha!
 
Sasa, UKAWA ikichukuwa nchi, watabadilisha wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na kuweka watu wao kama vile JK itakavyobidi ampishe Lowassa?
Milele amina. Hiyo ukawa yako hata wilaya haipati. Achilia mbali nchi. Lowassa tunamuweka ndani kwa mauaji ya Mtikila, na kesi za ufisadi. Wewe ----- mtozeni una bahati unatumia ID bandia
 
Sasa, UKAWA ikichukuwa nchi, watabadilisha wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya na kuweka watu wao kama vile JK itakavyobidi ampishe Lowassa?
Taratibu naona hata waliokuwa hawajaelewa sasa wanaanza kuelewa.
Ndio maana ikapendekezwa hivi vyeo vifutwe, cha ajabu polepole na Mzee Warioba wanaonyesha misimamo inayotoa mashaka juu ya uwepo wa viumbe waitwao Watanzania duniani!
 
Asumpta MSHANA na Gambo duuuh kweli 2005 tulifanya kosa kubwa sana sana katika maisha yetu....

Hao wakuu wa wilaya 13 gharama yao ya kuhamishwa ni shilingi ngapi, kiunua mgongo ni shillingi ngapi?.... Wakati hii shule hapa chini ina mwalimu moja tu....
 
Attachments

  • 1443986371406.jpg
    1443986371406.jpg
    33.6 KB · Views: 1,556
Nimeangalia Kikatio Changu
Moyoni Nikasema Tutaonana Tarehe 25.10
Huu Ni Uhuni Wa Wazi
Yaani Mrisho Gambo Kapumzika Kidogo Kapewa Tena Ukuu
 
Asumpta Mshama ukuu wa wilaya!? Surely haya majina Kikwete kapewa tu ayapitishe na hajui nani na ni yumo humo. I can't imagine kuwa na mkuu wa wilaya sampuli hii.
 
Nimefurahi sana kuona mipango ya Mungu kutuletea ukombozi kiaina yake, wengi hamtaelewa na mtajisababishia laana.
 
Hivi wataalamu wa sheria, hakuna kifungu kinachoweza kutusaidi kuzuia teuzi kama hizi!?
Inasikitisha na kuaibisha!

Zimebaki kuwa nafasi za wanaCCM watiifu, most of them hawana sifa wala ujuzi wa kufanya kazi nyingine.
 
Milele amina. Hiyo ukawa yako hata wilaya haipati. Achilia mbali nchi. Lowassa tunamuweka ndani kwa mauaji ya Mtikila, na kesi za ufisadi. Wewe ----- mtozeni una bahati unatumia ID bandia

Ungemfanyaje huyo mtozeni kama angekuwa anatumia jina lake halisi?
 
Gambo si alikuwa miongoni mwa madc walioachwa miezi ya nyuma kidogo na sababu za madc wale kuachwa sizilitolewa! alafu amerudishwa tena kuwa dc,hii inaelewekaje!! Kasesera hagombei ubunge Rungwe?!!
 
Asumpta Mshana.?!!!???!!!!! ... Hivi mtu anakataliwa na wapiga kura wake then ww unampa ukuu wa wilaya... Kazi ipo wengine walionekana ni mabogasi hata kule bungeni... Leo wanapewa jukumu la uDC.....!!!!
 
Back
Top Bottom