Rais Kikwete aonya kuingiza dini katika siasa

BAVICHA katika ubora wenuuu!!!!!!!!

Siasa zipi za kidini? CCM ndio wana siasa za kidini. Mwaka 2000-CUF chama cha Kiislamu, 2010 CHADEMA chama cha Kikristo, mgombea ni Padre amewekwa na kanisa Katoliki; mwaka 2015, Lowassa Mlutheri n.k. Hoja ya udini imefeli, sasa wanadhani watatumia udini kuwafarakanisha Wakristo maana mwaka huu Wakristo na Waislamu wameungana. Mimi ni Mkatoliki lakini nitampgia Lowassa kura. Km ni propaganda za udini huko huko kwenu
 
Ni kauli ya viongozi kuhadaa wananchi eti siasa na dini havifungamani!!!,,ila viongozi haohao wanatumia sana dini kfanikisha mambo yao. BAKWATA ni chombo cha serikali/CCM kilichovalishwa vazi la kiislam
 
Siasa na dini haviepukiki. Huko ni kudanganya wajinga. Siasa na dini ni mapacha. Tulieni sindano iwaingie vizuri ndio mtajua Edward Lowassa ni nani. Kawaulize CCM watakwambia tawi lao la BAKWATA lina kazi gani km siasa na dini vinatengana

Huyo ndio mtoa maoni wa kitanzania pole.
 
Huyo ndio mtoa maoni wa kitanzania pole.

Ni kauli ya viongozi kuhadaa wananchi eti siasa na dini havifungamani!!!,,ila viongozi haohao wanatumia sana dini kfanikisha mambo yao. BAKWATA ni chombo cha serikali/CCM kilichovalishwa vazi la kiislam
 
jaman mimi binafsi sioni faida ya viongozi wetu kujiingiza kwenye maswala ya kisiasa moja kwa moja. ingekua vizuri kuwaona wakiwa vinala wakutushauri na sio vinala wa kuanzisha mijadala
 
Ulitegemea wangefanya nini baada ya kutuhumiwa na wanasiasa? Ulitaka wakae kimya ili ionekane tuhuma ni za kweli?
 
Wanasiasa wanapaswa kutoingiza siasa kwa viongozi wa dini.
 
Bahati mbaya ni kuwa Askofu Gwajima
hayupo jirani na Magufuli hili ndilo kosa
kubwa! Nasema hivi kwa sababu Gwajima ni
rafiki wa viongozi wengi wa CCM kuliko wa
upinzani, amekuwa rafiki wa Lowasa tangu
akiwa CCM, amekuwa rafiki wa Pinda
wamekosana majuzi hapo! Mwakyembe ndiyo
hatusemi kanisa la ufufuo na uzima
kumekuwa kama nyumbani kwake, sitaki
kumwongelea lukuvi na wengine! Hivi
kilichowauzi ni Gwajima kuwa karibu na
wanasiasa wakubwa au kwa sababu
hajabahatika kuwa jirani na Magufuli?
 
jaman mimi binafsi sioni faida ya viongozi wetu kujiingiza kwenye maswala ya kisiasa moja kwa moja. ingekua vizuri kuwaona wakiwa vinala wakutushauri na sio vinala wa kuanzisha mijadala

Kama ww umeshutumiwa na jambo fulani na mwanasiasa, usimjibu kwa sababu ni mwanasiasa kakushutumu? Ww ulieshutumiwa utamjibia wapi?
 
Tulimwona Magufuli akienda kwa Kadinali Pengo,Mara tu baada ya Dodoma...
 
jaman mimi binafsi sioni faida ya viongozi wetu kujiingiza kwenye maswala ya kisiasa moja kwa moja. ingekua vizuri kuwaona wakiwa vinala wakutushauri na sio vinala wa kuanzisha mijadala

na wanasiasa pia waache kuingilia ya dini kama alivyofanya Dr Slaa na Wafanyavyo CCM
 
jaman mimi binafsi sioni faida ya viongozi wetu kujiingiza kwenye maswala ya kisiasa moja kwa moja. ingekua vizuri kuwaona wakiwa vinala wakutushauri na sio vinala wa kuanzisha mijadala

Kiharo jee unaionaje hii :

~jamani mimi binafsi sioni faida ya maraisi wetu wastaafu kujiingiza kwenye maswala ya matusi kwa raia moja kwa moja. Ni bora wao angalau wangekuwa 'neutral' na ingekua vizuri kuwaona wakiwa vinara wakutushauri na sio vinara wa kuanzisha matusi majukwaani.

Hapa namkariri Mkapa mwenye "Tanzania ni yetu sote hakuna mwenye haki miliki ya nchi hii".
 
baada ya slaa kufeli mnakuja na movie ya Udini wakati Yeye ndo Muasisi wa Udini......Kura yangu kwa Lowasa hata Ufanye mkutano na Watoto wachanga bado Nitakupigia kura
 
Watu mkiwa na mihemko na mahaba na huyo fisadi wenu hata mada hamsomi na siku bandiko lilipowekwa.Mnatukana tu.
 
Siasa zipi za kidini? CCM ndio wana siasa za kidini. Mwaka 2000-CUF chama cha Kiislamu, 2010 CHADEMA chama cha Kikristo, mgombea ni Padre amewekwa na kanisa Katoliki; mwaka 2015, Lowassa Mlutheri n.k. Hoja ya udini imefeli, sasa wanadhani watatumia udini kuwafarakanisha Wakristo maana mwaka huu Wakristo na Waislamu wameungana. Mimi ni Mkatoliki lakini nitampgia Lowassa kura. Km ni propaganda za udini huko huko kwenu

Wakristo na Waislamu wameungana wapi?
 
Unafiki !!! Amfukuze kwanza Ubunge wa CCM, Mchungaji Getrude Rwakatare, ndiyo alete hizo bla bla !!!!!

mchungaji MSIGWA---------------IRINGA
Mchungaji Natasee- -------KARATU

MSHENGA
 
Jk your game is over,kaa tafakari umetuachaje na vilio vya watanzania vitakulilia milele,
 
Back
Top Bottom