Rais Kikwete aonya kuingiza dini katika siasa

Rais Kikwete aonya kuingiza dini katika siasa

Asante sana presidar wamezidi wanatumia kigezo cha kuelimisha wananchi na kuhubili siasa,mimi ni muhumini ila sipendi maana najua madhara yake. ila ushauri tu ongeza ukali kwa yeyote yule anaetoa matamko yenye mienendo kama hiyo, fanya kama Mkapa na Nyerere.
 
Aonyeshe mfano yeye kwanza, yeye ndio muanzilishi wa siasa za dini, au ameshajisahau?
 
Moto ushakolea Mh rais ndio anakumbuka kupigia gari la zima moto hahahaha
 
Alikuwa wapi siku zote; mpaka kinuke ndio aongee. kiongozi unatakiwa uwe na busara za kuona mbele ukiwa mbali
 
Thibitisha ni kwanini yeye ni mwanzilishi wa siasa za kidini???

Athibitishe vitu ambavyo vinaonekana dhahiri kwa macho ya kawaida.

Hata mtu ambaye hana Elimu ya darasani haitaji kujiuliza Mara mbili juu ya jambo jepesi kama hili...
 
Nakubaliana na alichokisema Raisi. Lakini cha kujiuliza ni kwamba, je amewahi kufanya utafiti wa kina ili ajue nini chanzo cha udini ulioshamiri kwa sasa hapa nchini?
 
Viongozi dini nchini wametakiwa kutojihusisha na kampeni chafu za siasa hasa katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu ndani ya nyumba za ibada.

Aidha wametakiwa kutotoa fursa kwa baadhi ya wanasiasa watakaotaka kutumia nyumba hizo za ibada kufanya kampeni zao, kwa kuwa nyumba hizo takatifu zipo kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.

Akizungumza wakati wa kufungua semina kuhusu majukumu ya kijamii na kisiasa kwa walimu wa madrasa wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema, hata kama ni kiongozi wa dini ana chama chake anachokipenda hana nafasi ya kukipigia kampeni katika nyumba za ibada kwani kwa kufanya hivyo italeta mkanganyiko kwa waumini.

Kama kiongozi wa dini una chama chako, kuna mahala sahihi kwenye majukwaa, lakini si kwenye nyumba za ibada. Kila muumini ana chama chake sasa wewe utakapopiga kampeni ya chama chako unaweza ukakuta waumini wanakimbia au kilammoja anakuja na sare ya chama chake, hivi itakuwaje?¡± alihoji Sadiki.

Kwa upande wake, Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu Wasomeshao Quran nchini (JUWAQUTA), alisema, lengo la semina hiyo ni kuwakumbusha walimu hao wajibu wao katika masuala ya kijamii, kisiasa na kiuchumi hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Alisema walimu hao ni wadau wakubwa katika masuala ya usalama, upendo, mshikamano wa dini na dini, hivyo serikali iwatazame walimu hao kuwa ni watu wanaohitaji kushirikishwa katika mambo mbalimbali nchini.

Aidha, Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Konrad Adenauer Stiftung la Ujerumani, Stefan Reith alisema, wanafanya kazi kwa karibu na Juwaquta hasa katika kuhamasisha masuala ya amani.

Chanzo: Habari Leo
 
Alhad Musa Salum, mzee wa makongamano hapitwi,sijui anapata wapi muda wa kufundisha dini?
 
Ni muda mrefu jamii yetu imekuwa ikiwaheshimu na kuwaamini viongozi wa dini katika masuala mbalimbali ya kiroho na ustawi wa familia.

Ni jambo la kawaida sana kwa waumini wa dini zote kupeleka matatizo yao mbalimbali ya kifamilia kwa viongozi wa dini.

Ni dhahiri kwamba wengi wetu hupeleka masuala mbalimbali hata yale ya unyumba na siri nzito nzito za chumbani na familia kwa ujumla kwa kuwa tuna imani viongozi wa dini wana hulka ya kutunza siri na kusaidia kutatua matatizo yetu ya kiroho au kifamilia.

Hii ni tofauti kwa Gwajima ambaye ni mtomvu wa heshima ya kiongozi wa dini kwa kueleza siri za familia aliyoipa huduma za kiroho kisa tu kachokozwa kisiasa na yeye kajibu kwa kutoa siri za familia ya Slaa.

Angekuwa daktari angeweza kufutiwa cheti na kudaiwa fidia.

Lakini tukumbuke ni Gwajima huyu huyu aliyeshutumiwa kuvuruga ndoa ya Mbasha badala ya kutatua mgogoro wa familia hiyo.

Hii ni trend ya Gwajima anayejiita Bishop ambayo inatakiwa kuangaliwa kwa jicho la Tahadhari hasa hasa na waumini wake wanaompelekea siri za ndani.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Siasa na dini haviepukiki. Huko ni kudanganya wajinga. Siasa na dini ni mapacha. Tulieni sindano iwaingie vizuri ndio mtajua Edward Lowassa ni nani. Kawaulize CCM watakwambia tawi lao la BAKWATA lina kazi gani km siasa na dini vinatengana
 
BAVICHA katika ubora wenuuu!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom