Rais Kikwete anakaribia kuvunja Rekodi.

Status
Not open for further replies.
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!
 
Anamtafutia Ritz1 vituo vya biashara ila si kwa faida ya nchi. Si unaona hata majuzi alikwenda uswisi kwa kulazimisha matokeo yake akapokewa na mjumbe wa nyumba kumi kumi (meya) wakati maraisi wenzake wote wako makwao kujenga nchi zao.
 
Hapo si zimeonekana kwa vile nimekuwekea? bila hivyo ungeona wapi? halafu utambue kuwa hakuna safari ya Rais isiyo na faida. Hivi juzi tu alifanya ziara nchini Uganda ambapo licha ya kelele zenu kuwa asiende, yeye alienda kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu na nchi jirani. matokeo ya ziara hiyo ni kuwa amefanikiwa kumrudisha Kagame kwenye mstari baada ya kumwelewesha nini tafsiri ya ushauri wake
 
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!

Na mzinifu ni yule ambaye anafanya zinaa huku watu wasiopungua wanne wakiwa wanashuhudia. tuambie, ni watanzania wangapi wanashuhudia jinsi Dr sLAA anavyozini na JOSEPHINE tena mpaka wamezaa mtoto wa haramu?
 
Majuzi tu kaishia kupokewa na sungusungu na meya wa mji. Katika huo mkutano aliohudhuria rais wa nchi alikuwa peke yake. Nchi nyingine zilituma wakurugenzi wa idara na mawaziri. Hii ndio faida?
 
Mkuu elewa nimekuambia safari zenye tija hazizidi hata 10,,,Mbona hutaji ya Jamaica alienda kufanya nini? Au ile ya kujisifu Rais wa kwanza Africa kuitwa marekani baada ya Obama kushinda Urais.
 
kuna uzi humu jf ina safari za fastjet tangia alipoingia madarakani mara ya mwisho kuisoma ilikua ameshafikisha mia tatu na makumi nyingi tu.
 
kuna uzi humu jf ina safari za fastjet tangia alipoingia madarakani mara ya mwisho kuisoma ilikua ameshafikisha mia tatu na makumi nyingi tu.

Jumla ni 378
 
Hivi JK na Slaa kwenye mambo ya uzinifu nani yuko juu kama kweli unamfahamu rais wako kwenye hiyo nyanja, think twice!!!!!

labda kama ulimuona kwa mzazi wako mmoja wapo unakurupuka kama umemwagiwa maji ya moto.
 
Dr.Slaa, kavunja rekodi ya kuzunguka kwa Chopa dunia nzima.
 
Mkuu elewa nimekuambia safari zenye tija hazizidi hata 10,,,Mbona hutaji ya Jamaica alienda kufanya nini? Au ile ya kujisifu Rais wa kwanza Africa kuitwa marekani baada ya Obama kushinda Urais.

yawezekana hata familia tu inakusumbua ya jk utayaweza kama wanaume unakuwa mbea kiasi hiki kuzua uongo huyo mkeo sijui kama utaweza kumuongoza.
 
Dr.Slaa, kavunja rekodi ya kuzunguka kwa Chopa dunia nzima.

Haswaaa mkuu. Kavunja pia rekodi ya wagombea urais ambao wamezini kwa muda mrefu na kuzaa watoto wote nje ya ndoa. mpaka sasa ana watoto wanne na wote kazaa nje ya ndoa
 
faida ya safari za nje za JK ni Bandari ya kimataifa bagamoyo,RITZ1 kuwa bilionea anayeuza madawa ya kulevya na Kuhongwa suti na mmiliki wa serena hotel huyu ndio JK aka mr fastjet,unaambiwa huwa anshinda AIRPORT pale dar akiona tu ndege ipoipo anaforce safari
 
rais mpya JK kasafiri safari ngapi?mlinganishe na NYERERE aliyekaa madaarakani miaka 23
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…