Khaa!! watakuwa wahuni waliokodiwa au wajinga wasiojua kitu. Kama kuna jambo Kinana kalifanya baya kwa jamii na ikathibitishwa hivyo halafu akapewa madaraka na analindwa asichukuliwe sheria basi wa kumzomea si Kinana bali aliyempa madaraka hayo:whistle:na wale wanaomzomea Kinana anamamlaka gani juu yao?
Uko sahihi kabisa. Amekuza demokrasia, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni kuruhusu mchakato wa kupata katiba mpya. Jk ni bomba
mtanzania yeyote makini lazima ataipenda ChademaNimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
na wale wanaomzomea Kinana anamamlaka gani juu yao?
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Ritz Lizabon ze marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.
Muongeze na HAMMY-D
Jamani hivi huu msururu wa supermarkets za Panone ni za nani? Kuna majengo ambayo ni fairly expensive lakini yamejengwa kwenye vituo vya mafuta ambapo wala hakuna makazi ya watu. Fedha hii imetokana na nini? Could it be ni aina fulani ya kutakatisha fedha haramu? Nyingi ya hizi supermarkets zipo barabara ya Moshi-Arusha. Sijui kama ziko na sehemu nyingine.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums