Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Ritz Lizabon ze
marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha
sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.

sijui una maana gani unavyoandika hivyo? au mnaanzisha mada ili kuchokonoa watu?
 
Linapokuja suala la kiuongozi jk siku zote ni muungwana
Uko sahihi kabisa. Amekuza demokrasia, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni kuruhusu mchakato wa kupata katiba mpya. Jk ni bomba
 

JK ni Rais wa JMT na anafanya kazi na wadau wote wa maendeleo wakiwemo wabunge wa vyama vya upinzani. hivyo sishangai kama alimsimamisha wenje kusalimia wananchi kwani amekuwa akifanya hivyo kila anapotembelea jimbo lolote
 
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge

thithiem tatizo lenu ni SEMBE na sahivi mnahaha kutafuta hela ya uchaguzi.
 
mbona wamesha anza kukabidhi inchi? si uliona arusha, bukoba walishutuka wakasubiri 2015
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…