Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
350
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
 
Hiyo ni kwa sababu anafahamu hali ya Mwanza kisiasa, aliogopa kuzomewa kama wengine. Lakini pia alichofanya ni wajibu tu siyo issue ya kuipenda Chadema.
 
Ritz Lizabon ze marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.

Mkuu nimepita mitaa ya Lumumba nimewaona wako kwenye foleni naona walikuwa wanakinga ila walikuwa wanapiga makelele sana! inaonekana project inasuasua na walikuwa wanazinguliwa malipo.
 
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.

Rais wa Tanzania siyo rais wa CCM , wewe mbona kila siku unazidi kuwa mshamba?
 
Mkuu nimepita mitaa ya Lumumba nimewaona wako kwenye foleni naona walikuwa wanakinga ila walikuwa wanapiga makelele sana! inaonekana project inasuasua na walikuwa wanazinguliwa malipo.

Uko kazini au ndo unatoka?
 
Kikwete ana angushwa na wakuu wa mikoa na wilaya, pia kitendo cha kuingizwa mafisadi mwaka 2005 nacho kimemshushia heshima pia!
 
Hiyo ni kwa sababu anafahamu hali ya Mwanza kisiasa, aliogopa kuzomewa kama wengine. Lakini pia alichofanya ni wajibu tu siyo issue ya kuipenda Chadema.

Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea
 
...mkuuu umewatengenezea ulaji vijana wa buku 7, watakuja kama mvua, cdm utaipenda tu...
 
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Jk ni mlezi wa vyama vyote vya siasa ndio mana hata kipindi kile aliwakaribisha akina slaa, mbowe na genge lake walipoomba kwenda kunywa juice ikulu
 
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.

Na ninataka nikuhakikishie ndugu yangu, alama atakayoiacha JK kwenye taifa, ni Rais atakayekabidhi madaraka kwa roho safi mikononi mwa watawala wapya. Nyinyiemu hawaamini hilo kabisa. Nilimwonea huruma sana siku makamanda walipomtokea nje pale Bungeni, alisononeka sana Kiroho si kimwili.
 
Mkuu rais wetu anapenda sana CDM zaidi ya CCM si unaona kila siku anavyopangua watendaji wake kwa tension ya CDM mkuu tumaini makene mpeni kadi huyo.
 
Alikuja mwanza kama Rais wa nchi na hakuja mwanza kama mwenyekiti wa CCM, ndo maana hakufanya kama Mkuu wa mkoa alivyotaka iwe.Tatizo ni kwa hawa wenzake na JK wao wanajua kila mahali ni chuki za kipumbavu tu,,ndo maana huwa inafikia sehemu JK anatofautiana nao mbali sana.CCM wenye uelewa wa chini huwa hawajui hata ITIFAKI kila kitu wao wanajua ni sisiemu,sisiemu,sisiemu.Big up JK umewaonesha na wao wafuate, SIASA SIYO UADUI.
 
thatha huna akili. Inaonekana ulipozaliwa tu, badala ya kunyonya maziwa ya mama wewe ulivutishwa bangi...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge
 
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Unapo post k2 hapa,,fikiri kwanza,,sio unakunywa viroba vyako na ndo unapost,,,Huyo ni Rais wa Tanzania na wananchi wake wote pamoja na wapinzani wake,,yeye c raisi wa wana CCM tu,,,Isitoshe hiyo inaonesha ukomavu wa kisiasa,,umchukie mpinzani ili iweje???acha viroba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom