Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

Kazi imeanza ya kukipeleka Chama cha Kifamilia kwenye Makazi ya Milele! Hongera Mama Migiro
sASA HUYU NDIYE ATAPAMBANA NA LIPUMBA WA CUF, ZITTO WA CDM NA HASHIM RUNGWE WA CHAUMMA SAWASAWA NA MALENGO.
 
si ajabu kwa alichofanya Jk. kwamtoro upo on point akina lowasa and co. Wakae chonjo ila kwa mipango ya haraka kunamawaziri waanze kuaga kabla hawajaagwa....
 
Last edited by a moderator:
Happy hour talk show...

Tulia! Wewe KWA Zitto ni kama Condom kwa Ukimwi, Bila Ukimwi Condom isingepata Umaarufu japo imeshindwa kuzuia Umaarufu wa Ukimwi, Wewe Bila ya Zitto nani angekujua humu japo umeshindwa kazi uliyotumwa?imebidi Kazi ya Kupambana na Zito Chungu kifunuliwe sasa Mabos wako wanakula Vitassa vya haja Mpaka Babu wanaomba Kufunga Mjadala wakati Dozi haijaanza!

CCM ni Kama Msitu wa Amazon haufyekwi kwa Wembe!
 
Nadhani huna unachojua juu ya hili jambo subiri uelimishwe kuliko kuwa mtabili dogo.

Mie sio size yako mkuu tafuta watu wa kariba yako unaoweza kujibishana nao mie huwa najibishana na GT ambao wana hoja zenye nguvu sio watu kama wewe wenye simple mind. Kiustaarabu tu
 
Kutoka Naibu Katibu Mkuu (UN) kuwa Mbunge wa kuteuliwa majanga!!!!! atakuwa waziri wa nini????
 
tulia! Wewe kwa zitto ni kama condom kwa ukimwi, bila ukimwi condom isingepata umaarufu japo imeshindwa kuzuia umaarufu wa ukimwi, wewe bila ya zitto nani angekujua humu japo umeshindwa kazi uliyotumwa?imebidi kazi ya kupambana na zito chungu kifunuliwe sasa mabos wako wanakula vitassa vya haja mpaka babu wanaomba kufunga mjadala wakati dozi haijaanza! ccm ni kama msitu wa amazon haufyekwi kwa wembe!
cc ya ccm itampitisha awe mgombea urais wa ccm, chezea jk wewe!
 
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.

Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam

Nina msubiri kwa hamu sana 2015 mwanga... ni mlaini kuliko wanavyodhani... hongera migiro kama ni kweli nakusubiri jimboni mwanga 2015. Yes... ccm ni chama cha kizamani.
 
Haya ni maandalizi ya 2015 sio zaidi ya hapo. Unadhani yeye akiwa katibu wa mahusiano ya kimataifa anafanya nini katika ziara za ndani mikoani za Nape na Kinana mikoani? Anyway Time will tell!

Huyu mama ccm wanambeba beba tu ili aonekane anaweza lakini kiukweli hana jipya hata wanawake wenzake hawana chochote cha kujivunia ama kujifunza.

Alichokifanya huko UN ni kuiaibisha nchi yetu na kuionyesha dunia kwamba tuna baadhi ya wasomi ambao uwezo wao unaonekana kwenye makaratsi tu lakini katika utendaji ni zeeero.
 
Back
Top Bottom