Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

Acha utani mkuu! Angekuwa jembe bado angekuwa UN (na kumbuka aliomba kuongezewa mkataba akakataliwa kwa kuwa non-performer)
Ni jembe la mkono siyo jembe linalotakiwa kukokotwa na trekta yenye nguvu za farasi 200 (200HP).
 
Hongera Mhe Rais,mama Migiro mama mchapa kazi mpenda mendeleo mwenye weledi wa kutosha!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hongera sana Mama Migiro....tunategemea weledi wako katika bunge letu tukufu....ziara ya kichama unayondelea nayo..najua imekupa uzoefu wa kina wa community zetu vijijini..utakuwa mwakilishi wa kitaifa....ukifika bungeni anza na kero unazaoendelea kukutana nazo huko ziaran na waeshimiwa Kinana na Nape....Hongera tena....

Nimefarijika na uteuzi huu......!!! Great Choice....Mr President...!!! we need wise people mjengoni....we need more women too....!!!
 
Safi sana rais mpe wizara kabisa huyo mama jembe ataweza kuchapa kazi kwa moyo na uadilifu anaweza pia anakipaji cha uongozi.
 
Jamani nisaidieni hili: Kwa hawa wabunge wakuteuliwa sheria inamruhusu Rais kumvua ubunge huyo mteuliwa kama asipotimiza majukumu yake?
 
Haya ni maandalizi ya 2015 sio zaidi ya hapo. Unadhani yeye akiwa katibu wa mahusiano ya kimataifa anafanya nini katika ziara za ndani mikoani za Nape na Kinana mikoani? Anyway Time will tell!
Nadhani huna unachojua juu ya hili jambo subiri uelimishwe kuliko kuwa mtabili dogo.
 
Kuna dot.........fulani na mizunguko yake ya Chama, haya tuone kamati kuu itaamua mgombea awe mwanamke kama walivyo fanya kwa spika wa bunge. Tusubiri tuone

Hahaha....

Na kama atamteua kwenye cabinet reshuffle ni lazima aonyeshe ana utaalamu exceptional ambao hauwezi kupatikana ndani ya wabunge wa CCM.

Next time atampa Kinana Ubunge kuelekea general Election


Kesho Headline utaskia, Migiro Aula....

Nawashangaa watu wanaolaumu JK kumteua mtu aliye-underperfom UN kuwa mbunge wakati alimteua mtu aliye-underperfom UNHABITAT kuwa Minister
 
Mnaosema Migiro alikuwa under-performer UN mnao ushahidi?? kama upo wekeni hapa coz hatujasikia allegations kama hizo kumhusu yeye..

Au ndo yale ya "wivu wa kike" ??
 
Back
Top Bottom