Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea

Duh wewe kiboko una chuki mpaka na ukweli.
 
Nikweli maandalizi ya 2015 yanapamba moto, ikionekana kila mtu anagombania uprezidaa
basi atapachikwa kwa kigezo kwamba mwaka huo mgombea ni mwanamke.
Ni juhudi za kuzima moto mkali wa eddo.
 
Migiro hana jipya, angeachwa aendelee kumsaidia Kinana ujenzi wa nyumba vijijini. Monduli Oyee! Monduli Juu 2015!
 
Shida yetu kubwa ni kuchukulia mambo juu juu kishabiki na kutofanya uchambuzi wa ndani.

ukifanya utafiti, toka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa ianzishwe, haijawahi kutokea mtu aliyeshika nafasi hiyo kwa mihula miwili. Mara zote imekuwa nafasi ya muhula mmoja ili kuwezesha mabara yote kupata nafasi kuongoza katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa UN.

Ndio maana mtu wa kwanza kuishika alikuwa Mcanada, akafuatiwa na mtu wa Latin America, akafuatia mtu kutoka Ulaya, akafuatia kutoka Afrika.

Mtu wa mwisho kabla ya Dk Migiro aliyeishika nafasi ile alikuwa anatoka Uingereza, jina lake lilikuwa Mark Maloch Brown. Mtu huyu alishirikia nafasi hiyo kwa mwaka mmmoja tu akaondoka. Na msijekudhani kukaa kwake kipindi kifupi hivyo alikuwa na uwezo mdogo, la hasha. Huyu bwana ndio alkuwa UNDP Administrator (Mkuu wa UNDP duniani) aliyepata mafanikio makubwa sana. Si hivyo tu, hata baada ya kumaliza UN, aliporudi Uingereza aiteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na akapewa hadhi ya kuingia kwenye Cabinet ya Uingereza. Na nchi yake ilimpa heshima ya kuwa Lord...desipite the fact kwamba amekaa UN as Deputy SG kwa kipindi kifupi kuliko mtu yoyote.

Dr.Migiro ame aliza full term ya u DSG, na tofauti na wenzie wote waliomtangulia kwenye nafasi ile yeye ndio mtu pekee aliyepewa meno ya kuongoza menejimenti ya taasisi ile. Kwa wale waliokutana naye kikazi (sio makundi na mashabiki wa 2015 wa hapa nyumbani, wanamkubali kwamba alikuwa mtu very firm, very thorough na alikuwa mfuatiliaji makini sana). Sifa hiyo ilimjengea imani kubwa Bw.Ban Ki Moon, lakini ilimjengea uadui na watu ambao walikuwa na maslahi yao binafsi na ya nchi zao ndani ya shirika.

Hata kwenye siasa za ndani ya mabara kwenye umoja wa Mataifa, mama huyu alijijengea maadui kwasababu ya msimamo wake wa kusimamia haki bila upendeleo. Hata kundi Bara la Afrika ambalo lilikuwa linategemea uwepo wake pale juu lingepata faida ya ziada lilikuwa disappointed kwasababu Mama yule alisimamia maslahi ya taasisi zaidi kuliko makundi. Hurka yake hiyo ya kutokuwa na upendeleo wa wazi wazi, ilijionyesha hata katika kuteua wasaidizi wake, badala ya kujaza watu wa nchi yake tu, alifanya usaili makini ha kupata wasaidizi kutoka mabara yote ikiwemo Afrika, Ulaya nk. Ni wazi kabisa kwa siasa za UN zinazoelemea kwenye maslahi ya makundi, nchi, mabara, style ya uongozi ya mama huyu haikuwafurahisha wengi. Watu wengi wanamlaumu Mama huyu juu ya kushindwa kumtetea Prof.Anna Tibaijuka pale alipoungia kwenye mgogoro na Warusi ambao walikuwa wanaitaka nafasi yake na wakatumia uwepo wao kwenye Baraza la Usalama kama mjumbe mwenye turufu kumshinikiza KM wa Umoja wa Mataifa amtose. Mambo ya ndani hayasemwi, lakini ukweli ni kwamba Mama yule alifanya kazi kubwa ya kumshawishi KM wa Umoja wa Mataifa afanye maamuzi kwa misingi ya taratibu na sheria bila kumuonea mtu au bila kujal maslahi ya makundi au mabara. Kwa bahati mbaya KM bwana Ban alishafanya uamuzi......na alikuwa na haki ya kuchuk uamuzi aliochukua kwasababu mwisho wa siku wakubwa wale ndio wangemchagua tena kushika nafasi yake kwa kipindi cha pili (KM wa UM anachaguliwa na Baraza la Usalama na kuidhinishwa na Baraza Kuu) ili kulinda mkate wake akakubali kumtosa Mama Tibaijuka ambaye alikuwa na msimamo mkali wa kudhibiti ubadhilifu uliokuwa ukifanywa na raia wa urusi ambao walikuwa kwenye UN Office pale Nairobi. Mwisho wa yote, historia itamhukumu Dr Migiro kwa kazi aliyofanya pale UM.

Utamaduni wa mataifa yote ulimwenguni kujivunia pale raia wake anapomaliza kazi nzuri katika nyanja za kimataifa. Utamaduni huo umekuwepo hata hapa nchini huko nyuma akina Salim A Salim, akina Getrude Mongera walipomaliza walipongezwa na kuonekana mashujaa waliopeperusha jina la nchi yetu. Lakini kwa Dk Asharose kwasababu ya siasa zetu uchwara ambazo zimegubikwa na uchu wa urais 2015, Mama huyu amerudi nyumbani na kupokewa na maneno ya uwongo na uzushi kutoka kwa waathirika wa utawala wake kule UN kwamba ameshindwa kazi, mkataba haujaongezwa. By the way, Bw.Ban Ki moon kabadilisha timu yoooote, hakuna aliyebaki katika ngazi ya juu kasoro yeye mwenyewe.....unataka kusema wale wooooote ni vilaza? Fanyeni utafiti mdogo mtagundua baadhi ya wale walioondoka, ni watu walio accomplish mambo makubwa sana kwenye medani za kimataifa na kwenye nchi zao.

watanzania wote bila kujali itikadi zetu, tulitakuwa kufurahia mafanikio yake badala ya kuyaponda. Hakuna mtanzania amewahi kufikia ngazi aliyofikia, ha pengine hatatokea katika miaka mingi ijayo, hivyo tusiharibu sifa hii nzuri ya mwenzetu ambayo tulitakiwa kuipigia kelele ili kuwa motivate watoto wa kike wa tanzania kwamba wanaweza, yupo mtanzania mwanamke aliyeweza.

Mwisho nitoe changamoto kwa critics wake, zaidi ya kumchambua historia yake katika UMoja wa Mataifa, nendeni deep zaidi mchambue nafasi nyingine alizowahi kushika nchini- Serikalini, na nje ya Serikali. Tafuteni watu wanaomfahamu kwa karibu wawaeleze Asharose ni mtu wa aina gani, ana uwezo gani, anasimamia nini? Mimi binafsi ninamfahamu- ni mtu mwadilifu, ni mchapa kazi hodari, hapendi ubabaishaji- siku zote wababaishaji wamekuwa matatani wanaposhughulika na mama huyu, ni mtu anayefuatia mambo in details- na akianzisha jambo hulisimamia mpaka lifike mwisho wake....sio mtu wa matukio, sio mtu wa kutafuta umaarufu. Anazo sifa zote za kuwa kiongozi bora kuliko watu wengi ambao wanaongozwa na matukio na umaarufu wa bandia kwa kutumia ushawishi wa fedha.

Mkuu umenikosha sana moyo wangu kwa haya uliyotuelimisha juu ya Dr.Migiro na UN kwa ujumla.
Watu hatufanyi analysis juu ya jambo fulani bali tunaongozwa kwa chuki, fitina, uzandiki na tamaa za ajabu ajabu.
Kila mtu akitaka kweli ya moyo wake kufaham juu ya Dr. Migiro na kilichotokea UN hakuna atakaethubutu kumsema huyu mama vibaya, kwa sisi tunaomfaham Dr.Migiro tunashangaa sana watu wasiomfaham kumsemea vibaya.
Kubwa kwa Dr.Migiro ni kwamba anafanya kazi zake kwa weledi mkubwa pasi na kutafuta umaarufu wala kutazama macho ya watu
 
Huu utangulizi wa kitabu chako, will be very impressive huko Lumumba. I know her alipokuwa UN pamoja na uwezo wake. She is garbage
 
Umewakata miguu watu wa majungu, tuachieni Rais wetu mtarajiwa.
 
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea

Baelezee dii!
Simple minds wanashangilia uteuzi huu sijui kwa dhana ya ushabiki tuu, au kwa maslahi yao binafsi au huenda wana mahusiano na huyo Rose, lakini ukweli ni kuwa uteuzi huu ni udahifu wa uwezo wa kutafakari mambo, kwa huyo anayeteua na washauri wake pia!
 
Shida yetu kubwa ni kuchukulia mambo juu juu kishabiki na kutofanya uchambuzi wa ndani.

ukifanya utafiti, toka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa ianzishwe, haijawahi kutokea mtu aliyeshika nafasi hiyo kwa mihula miwili. Mara zote imekuwa nafasi ya muhula mmoja ili kuwezesha mabara yote kupata nafasi kuongoza katika Ofisi ya Katibu Mkuu wa UN.

Ndio maana mtu wa kwanza kuishika alikuwa Mcanada, akafuatiwa na mtu wa Latin America, akafuatia mtu kutoka Ulaya, akafuatia kutoka Afrika.

Mtu wa mwisho kabla ya Dk Migiro aliyeishika nafasi ile alikuwa anatoka Uingereza, jina lake lilikuwa Mark Maloch Brown. Mtu huyu alishirikia nafasi hiyo kwa mwaka mmmoja tu akaondoka. Na msijekudhani kukaa kwake kipindi kifupi hivyo alikuwa na uwezo mdogo, la hasha. Huyu bwana ndio alkuwa UNDP Administrator (Mkuu wa UNDP duniani) aliyepata mafanikio makubwa sana. Si hivyo tu, hata baada ya kumaliza UN, aliporudi Uingereza aiteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na akapewa hadhi ya kuingia kwenye Cabinet ya Uingereza. Na nchi yake ilimpa heshima ya kuwa Lord...desipite the fact kwamba amekaa UN as Deputy SG kwa kipindi kifupi kuliko mtu yoyote.

Dr.Migiro ame aliza full term ya u DSG, na tofauti na wenzie wote waliomtangulia kwenye nafasi ile yeye ndio mtu pekee aliyepewa meno ya kuongoza menejimenti ya taasisi ile. Kwa wale waliokutana naye kikazi (sio makundi na mashabiki wa 2015 wa hapa nyumbani, wanamkubali kwamba alikuwa mtu very firm, very thorough na alikuwa mfuatiliaji makini sana). Sifa hiyo ilimjengea imani kubwa Bw.Ban Ki Moon, lakini ilimjengea uadui na watu ambao walikuwa na maslahi yao binafsi na ya nchi zao ndani ya shirika.

Hata kwenye siasa za ndani ya mabara kwenye umoja wa Mataifa, mama huyu alijijengea maadui kwasababu ya msimamo wake wa kusimamia haki bila upendeleo. Hata kundi Bara la Afrika ambalo lilikuwa linategemea uwepo wake pale juu lingepata faida ya ziada lilikuwa disappointed kwasababu Mama yule alisimamia maslahi ya taasisi zaidi kuliko makundi. Hurka yake hiyo ya kutokuwa na upendeleo wa wazi wazi, ilijionyesha hata katika kuteua wasaidizi wake, badala ya kujaza watu wa nchi yake tu, alifanya usaili makini ha kupata wasaidizi kutoka mabara yote ikiwemo Afrika, Ulaya nk. Ni wazi kabisa kwa siasa za UN zinazoelemea kwenye maslahi ya makundi, nchi, mabara, style ya uongozi ya mama huyu haikuwafurahisha wengi. Watu wengi wanamlaumu Mama huyu juu ya kushindwa kumtetea Prof.Anna Tibaijuka pale alipoungia kwenye mgogoro na Warusi ambao walikuwa wanaitaka nafasi yake na wakatumia uwepo wao kwenye Baraza la Usalama kama mjumbe mwenye turufu kumshinikiza KM wa Umoja wa Mataifa amtose. Mambo ya ndani hayasemwi, lakini ukweli ni kwamba Mama yule alifanya kazi kubwa ya kumshawishi KM wa Umoja wa Mataifa afanye maamuzi kwa misingi ya taratibu na sheria bila kumuonea mtu au bila kujal maslahi ya makundi au mabara. Kwa bahati mbaya KM bwana Ban alishafanya uamuzi......na alikuwa na haki ya kuchuk uamuzi aliochukua kwasababu mwisho wa siku wakubwa wale ndio wangemchagua tena kushika nafasi yake kwa kipindi cha pili (KM wa UM anachaguliwa na Baraza la Usalama na kuidhinishwa na Baraza Kuu) ili kulinda mkate wake akakubali kumtosa Mama Tibaijuka ambaye alikuwa na msimamo mkali wa kudhibiti ubadhilifu uliokuwa ukifanywa na raia wa urusi ambao walikuwa kwenye UN Office pale Nairobi. Mwisho wa yote, historia itamhukumu Dr Migiro kwa kazi aliyofanya pale UM.

Utamaduni wa mataifa yote ulimwenguni kujivunia pale raia wake anapomaliza kazi nzuri katika nyanja za kimataifa. Utamaduni huo umekuwepo hata hapa nchini huko nyuma akina Salim A Salim, akina Getrude Mongera walipomaliza walipongezwa na kuonekana mashujaa waliopeperusha jina la nchi yetu. Lakini kwa Dk Asharose kwasababu ya siasa zetu uchwara ambazo zimegubikwa na uchu wa urais 2015, Mama huyu amerudi nyumbani na kupokewa na maneno ya uwongo na uzushi kutoka kwa waathirika wa utawala wake kule UN kwamba ameshindwa kazi, mkataba haujaongezwa. By the way, Bw.Ban Ki moon kabadilisha timu yoooote, hakuna aliyebaki katika ngazi ya juu kasoro yeye mwenyewe.....unataka kusema wale wooooote ni vilaza? Fanyeni utafiti mdogo mtagundua baadhi ya wale walioondoka, ni watu walio accomplish mambo makubwa sana kwenye medani za kimataifa na kwenye nchi zao.

watanzania wote bila kujali itikadi zetu, tulitakuwa kufurahia mafanikio yake badala ya kuyaponda. Hakuna mtanzania amewahi kufikia ngazi aliyofikia, ha pengine hatatokea katika miaka mingi ijayo, hivyo tusiharibu sifa hii nzuri ya mwenzetu ambayo tulitakiwa kuipigia kelele ili kuwa motivate watoto wa kike wa tanzania kwamba wanaweza, yupo mtanzania mwanamke aliyeweza.

Mwisho nitoe changamoto kwa critics wake, zaidi ya kumchambua historia yake katika UMoja wa Mataifa, nendeni deep zaidi mchambue nafasi nyingine alizowahi kushika nchini- Serikalini, na nje ya Serikali. Tafuteni watu wanaomfahamu kwa karibu wawaeleze Asharose ni mtu wa aina gani, ana uwezo gani, anasimamia nini? Mimi binafsi ninamfahamu- ni mtu mwadilifu, ni mchapa kazi hodari, hapendi ubabaishaji- siku zote wababaishaji wamekuwa matatani wanaposhughulika na mama huyu, ni mtu anayefuatia mambo in details- na akianzisha jambo hulisimamia mpaka lifike mwisho wake....sio mtu wa matukio, sio mtu wa kutafuta umaarufu. Anazo sifa zote za kuwa kiongozi bora kuliko watu wengi ambao wanaongozwa na matukio na umaarufu wa bandia kwa kutumia ushawishi wa fedha.

Kama kumfahamu ni kigezo hata mimi pia naweza kusema kuwa namfahamu. Lakini siko tayari kummwagia sifa kama wewe, na vile vile siko tayari kuunga mkono apewe nafasi ya kuongoza Tanzania ambayo hivi sasa imelemewa na wimbi la ufisadi. Ukaribu wake na Kikwete unanipa mashaka kama atakuwa kiongozi mzuri. Ni hayo tu kwa leo.
 
Back
Top Bottom