happymalya
Senior Member
- Sep 1, 2015
- 116
- 27
Lowasa
Laowassa hafai jamani tuache ushabiki
Richmond=Richard Monduli.Walifanya wizi wa kimkakati(Strategic theft) jinsi ya kupata ushahidi beyond no doubt ni ngumu.Na sheria zilivyo najua huzijui ila Fisadi EL baada ya kukaa kwa muda inaonekana wamemshauri kwamba ukitaka kulikwepa sema "Wakupeleke mahakamani" wakati kama ni kweli yeye siyo MWIZI kwanini HAUMIZWI NA UFISADI na RUSHWA KABISA,Kwanini anagawa sana PESA na Kwanini UHALALI WA UTAJIRI WAKE NI SIRI KUBWA.Aseme jinsi alivyopata ili na sisi tunaotafuta tufuate nyayo zake.NI MWIZI TU.....
Hata Magufuli hafai.
Lowassa alimhusisha Kikwete na richmond kwa kutamka kuwa mamlaka yaliyo juu yake ndio iliyohusika na richmond. Hakuna mamlaka yaliyokuwa juu ya Lowassa zaidi ya ikulu iliyo chini ya Kikwete!
Naye Kikwete kajibu mapigo kwa kusema anaehusika na richmond ni yule anaetembea na Lissu kwenye majukwaa ya siasa! Hakumtaja mtu! Je, Lissu anatembea na nani?? Hakutajwa mtu!
Lowassa anatafuta sasa huruma aseme ameonewa. Swahiba wake JK hakuweza kumfunga lakini Magufuli hacheki na mtu. Ngojeni muone! Mnaosema mbona hajapelekwa mahakamani msiingie humu kulialia akipelekwa mahakamani!
Kwani Tundu Lisu anaongozana na mtu mmoja?
anayefaa nani?Laowassa hafai jamani tuache ushabiki
Wananchi wanalalamika,viongozi wanalalamika,JPM analalamika,na Mh.Rais naye analalamika..Nafikiri Lowassa ndio mtu wa kufanya maamuzi!!chagua LOWASSA!
Hilo lipo wazi lowasa mwizi sana mahakama ya mafisadi ikija ataisoma namba fisadi huyu.
We fisadi tulia dawa iingie mlizoea kula vya kuiba na kupora tutawafunga mwaka huu na hizo mlizokula lazima zirudi mafisadi papa nyie na huyo Lowasa wenu.
Lowasa na mafisadi wenzake.
ukiona watoto wanatajana kuhusu aliyekula sukari, usimwadhibu mmoja. Chukua kiboko tandika wote umalize mchezo.