Alikosa sifa zilezile zilizosababisha wapambe wote wa lowasa wakapigwa chini.Vipi babu yako Mkono alikosa sifa gani.
Ogopa JK kwa visasi. refer: Babu Seya!!! Usiniulize.
Ogopa JK kwa visasi. refer: Babu Seya!!! Usiniulize.
Filikunjombe amejikaanga kwa maneno na matendo yake mwenyewe. Haijui CCM?Ni kweli jana niliamua kuweka bayana kwamba wanaoitafuna na kuiangamiza nchi yetu ni viongozi wetu, mawaziri, ambao tumewapa dhamana ya kututumikia. Ushahidi tunao. Maisha ni magumu. CCM tumejisahau. Tumelewa madaraka. Tumewasahau waliotutuma. Tumejisahau, tunadhani, Tanzania ni mali ya CCM.
Kwa kusema maneno hayo mtu kama hana chake ndani ya CCM, Inawezekan wazi ya kuwa CCM hawapendi Reformation na kwa hiyo wako tayari kufa.
its sound lyk true,,,,bt what iz abt MKONO???
NADHAN NI KUKOSOA LIVE
Ni kweli jana niliamua kuweka bayana kwamba wanaoitafuna na kuiangamiza nchi yetu ni viongozi wetu, mawaziri, ambao tumewapa dhamana ya kututumikia. Ushahidi tunao. Maisha ni magumu. CCM tumejisahau. Tumelewa madaraka. Tumewasahau waliotutuma. Tumejisahau, tunadhani, Tanzania ni mali ya CCM.
Kwa kusema maneno hayo mtu kama hana chake ndani ya CCM, Inawezekan wazi ya kuwa CCM hawapendi Reformation na kwa hiyo wako tayari kufa.
Kweli nimeamini JK ni mtu wa kulipiza kisasi