Rais Kikwete akifanya mazoezi arusha.

Huu siyo mfano mzuri kabisa, Rais anatumia masaa matatu kufanya mazoezi? Kazi anafanya masaa ngapi?
 
Walinzi mbona wana vitambi? Hawa si ndio wanatakiwa wawe fit? Mazoezi ni sehemu ya kazi yao? Kulikoni?
 
.

Tatizo hawa maraisi wakiwa wanafanya mazoezi huwalazimisha na walinzi wao wawe wafanye mazoezi si kwa kupenda ... ila basi tu hawana jinsi!

attachment.php

url

url

url

url

url

url

Ameenda kufanya mazoezi nyumbani kwa Lwaiganan.... ha ha ha ha...JK kiboko!

Mie naona anafanya mazoezi ya maandamano ili awaongoze magamba wenzie kuandamana baada ya 2015 kupinga matokeo ya uchuguzi na hii imeifanyia arachuga kwa wanaojua umuhimu wa maandamano. Ni uchuro tu hamna kingine.
 
.

Tatizo hawa maraisi wakiwa wanafanya mazoezi huwalazimisha na walinzi wao wawe wafanye mazoezi si kwa kupenda ... ila basi tu hawana jinsi!

attachment.php

url

url

url

url

url

url

Ukiangalia hizi picha kweli utawaona wanaofanya mazoezi kwa dhati. Nina mashaka na picha ya kwanza toka juu na nina imani kwa nyuma kuna ambulance!
 
Ukiangalia hizi picha kweli utawaona wanaofanya mazoezi kwa dhati. Nina mashaka na picha ya kwanza toka juu na nina imani kwa nyuma kuna ambulance!

Huyu mkweree hapo anafanya ubishoo tu kwani huwezi kufanya mazoezi huku umevaa bullet proof vest!! Anagalia kifua chake kilivyojaa!!
 
Nimewaonea huruma walinzi kwani wanafanya mazoezi kinyume na hiari yao. They can not plan anything wanasubiri kuambiwa leo ni huku na kesho ni kule. Sijaona kazi ngumu kama hii
 
Back
Top Bottom