mkerewe halisi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 299
- 152
Arusha nini tena. Yaani hata zenj?evu zilete na vielelezo, siyo porojo tu. Wape wana JF uhondo. Karibu sana.
Aisee, na wewe unasoma kipeperushi?
Ni kweli kabisa, mimi nimekuwa nikifuatilia safari za Rais wa Kenya toka aingie Ikulu safari zake za nje ya Africa hazijazidi hata tano.
Ivi mshawahi kuchukia ukaishia kucheka instead ?? Daaah
Haaaa wewe kwa usanii hujambo?mh!nitamwita rafiki yako hapa akukumbushe dili zenu za arusha na zenji.manyerere wewe acha kuja na unafiki hapa.
Bwana mkubwa keshapaa kwenda Geneva, Uswis kupumzika baada ya hekaheka za Dodoma.
Sidhani kama Magufuli au huyo wa UKAWA ataambulia kitu katika chungu cha hazina ya taifa.
Manyerere Jackton bana.....!!! Haya kaka investigative journalist!
Mpe Mpe MNAFIKI Huyo Huku Mimi Nikikusanya Maovu Yake Nije NIKUNJUKE Nayo Hapa. Na Atakimbia Humu Kwa Kubadili Hadi ID Yake.
Maumivu ni kwa Lowasa baada ya kukwata JK ameenda kumpuzika Uswizi akitoka hapo anaenda wapi?
mkuu samahanini kwa wengine. tatizo kuna watu wengine wanawaza vurugu tu. hawajui kuwa hizo vurugu hata wao na familia zao hazitawaacha salama. kwa bahati mbaya hawajifunzi kutoka kwa wengine. vurugu zinazoendelea hapo burundi zimetuletea rundo la wakimbizi hapa nchi. sasa sijui na wao wanataka kuwa wakimbizi hata sielewi. Anyway, sorry kwa wengine.Basi Mkuu Abunuas Msamehe Hatorudia Tena. Uliyompa Yanamtosha Na Kama Atakuwa Muungwana Atakusikia Na Kuunyuti Zake Tu Mkuu.
ukawa mkiingia hakikisheni mnafanya auditing ya safari za huyu mpuuzi
hili sio jukwaa la watu wastaarabu bali la great thinker. kwa hiyo halikufai. nenda katafute la wastaarabu ili uendelee kumwaga hizi pumba zako za ki-investigative journalism.Jazba za nini? Jadili hoja. Mada hapa ni Rais kikwete kwenda Uswis. Usidhani unaweza kuni~provoke ili nikose adabu! Hili jukwaa la watu wastaarabu.
Yericko Nyerere chondechonde na tafadhali sana; tafta ule uzi (ufufue)wa Route za huyu Mbayuwayu na utupe update- zimefika ngapi?duuuuh Vasco Da Gama katika ubora wake. Yericko Nyerere hebu tujuze amefikisha ruti ngapi Vasco? maana nakumbuka kuna uzi ulikuwa unaupdate safarir zake
Ukichukia afu ukacheka wee mnafiki tu!ukiamua kuchukia chukia tu na ukicheka cheka tu!
Una umri gan ??
Invisible au Maxence Melo Hebu piteni huku kwanza kijana anawahitaji kwa msaada wenu