Felix Tshisekedi: Endapo Rwanda itaendelea na vitendo vyake huko Mashariki ya DRC, hata sita kuliomba Bunge limpe kibali Ili akaivamie Rwanda

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Rais wa DRC Felix Tshisekedi ameapa kuichakaza Rwanda endapo atachaguliwa muhula wa pili.

Akihutubia Mkutano wa kufunga Kampeni mjini Kinshasa Rais Tshisekedi amesema endapo Rwanda itaendelea na vitendo vyake huko Mashariki ya DRC hata sita kuliomba Bunge limpe kibali Ili akaivamie Rwanda na afike Kigali.

Nanukuu "Rwanda imekuwa ikichezea viongozi wa zamani ila Mimi ni mtu mwingine Huwa sichezewi nitafika Kigali nimuondoe Kagame" amesema Rais Felix Tshisekedi.
---
The Democratic Republic of Congo (DRC) President, Felix Tshisekedi, has said he will declare war with Rwanda if he wins the presidential race scheduled for December 20.

Addressing a final campaign rally in Kinshasa on Monday, Tshisekedi said he is tired of the persistent Rwandan invasion of his country.

He said for a long time he has warned Rwanda to stop the invasion and support the M23 rebel group, but the plea has fallen on deaf ears, and it is now time for the DRC to take action to address the situation.

“If you renew your confidence in me, and if Rwanda continues its desire to the east of our country, I will ask the parliament and the congress to authorize me to declare war on them, and we will go to Kigali. Tell Rwandan President Paul Kagame that he used to have fun with the former leaders of DRC. That has changed. I will respond to any provocation,” he told thousands of supporters who attended the rally.

My Take
Vita na M23 inatumika kama mtaji wa Kisiasa na Kambi ya Rais Felix.

Kagame jiandae kisaikolojia.

Pia soma
 
Yani kwa kipindi chote alichokaa madarakani ashindwe kufanya hivyo ili aje atumie kama ajenda kwenye kuomba kura arudi kwenye muhula mwingine?

Angefanya hata rasharasha watu wake waone yuko serious kweli kupewa nafasi nyingine.

NB:Siungi mkono vita, just thinking out loud.
 
Awamu ya kwanza ni ya kujipanga,utekelezwaji ni awamu ya pili.
 
Rais wa DRC Felix Tshisekedi ameapa kuichakaza Rwanda endapo atachaguliwa muhula wa pili.

Akihutubia Mkutano wa kufunga Kampeni mjini Kinshasa Rais Tshisekedi amesema endapo Rwanda itaendelea na vitendo vyake huko Mashariki ya DRC hata sita kuliomba Bunge limpe kibali Ili akaivamie Rwanda na afike Kigali.

Nanukuu "Rwanda imekuwa ikichezea viongozi wa zamani ila Mimi ni mtu mwingine Huwa sichezewi nitafika Kigali nimuondoe Kagame" amesema Rais Felix Tshisekedi.

View: https://www.instagram.com/p/C1CWc1jIFHj/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Vita na M23 inatumika kama mtaji wa Kisiasa na Kambi ya Rais Felix.

Kagame jiandae kisaikolojia.

Hatuna faida ya kuwepo kwa EAC endapo kila nchi inaweza kujiamulia mambo yake.
 
Kama mbwai na iwe mbwai, hakuna kitu kibaya kama nchi yako kugeuzwa shamba la bibi, ila kabla ya kufika Rwanda asafishe kwaza wale waasi waliojazana Kivu na kwingineko then ndio aelekee nchi jirani, huwezi kutoa boriti kwenye jicho la jirani ilhali kwako bado upo nacho
 
Rais wa DRC Felix Tshisekedi ameapa kuichakaza Rwanda endapo atachaguliwa muhula wa pili.

Akihutubia Mkutano wa kufunga Kampeni mjini Kinshasa Rais Tshisekedi amesema endapo Rwanda itaendelea na vitendo vyake huko Mashariki ya DRC hata sita kuliomba Bunge limpe kibali Ili akaivamie Rwanda na afike Kigali.

Nanukuu "Rwanda imekuwa ikichezea viongozi wa zamani ila Mimi ni mtu mwingine Huwa sichezewi nitafika Kigali nimuondoe Kagame" amesema Rais Felix Tshisekedi.
---
The Democratic Republic of Congo (DRC) President, Felix Tshisekedi, has said he will declare war with Rwanda if he wins the presidential race scheduled for December 20.

Addressing a final campaign rally in Kinshasa on Monday, Tshisekedi said he is tired of the persistent Rwandan invasion of his country.

He said for a long time he has warned Rwanda to stop the invasion and support the M23 rebel group, but the plea has fallen on deaf ears, and it is now time for the DRC to take action to address the situation.

“If you renew your confidence in me, and if Rwanda continues its desire to the east of our country, I will ask the parliament and the congress to authorize me to declare war on them, and we will go to Kigali. Tell Rwandan President Paul Kagame that he used to have fun with the former leaders of DRC. That has changed. I will respond to any provocation,” he told thousands of supporters who attended the rally.

My Take
Vita na M23 inatumika kama mtaji wa Kisiasa na Kambi ya Rais Felix.

Kagame jiandae kisaikolojia.

Nchi Ina vikosi vya waasi zaidi ya hamsini halafu unalazimisha kwenda kuipiga Rwanda.
 
Rwanda wasibweteke wana maadui wengi sana na hata pale Warutsi walipokuwa wakichinjwa na INTERAHAMWE hakuna alieenda kuwasaidia Zaire ilifikia kutuma Majeshi ili kuwamaliza Watutsi.

Watutsi wajue kuwa kuna Waafrika wenye roho mbaya wanaotaka kuona kuwa kizazi chao kinaisha Central Afrika.
 
Back
Top Bottom