Rais Kagame amteua Binti yake kuwa Mkurugenzi wa Baraza la Mikakati

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
1690982555393.png
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Ange Kagame Ndengeyingoma atakuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Baraza la Mikakati na Sera (SPC).

Angel amekuwa akifanya kazi katika Ofisi ya Rais kwa miaka 5, elimu yake ya Sekondari hadi Chuo Kikuu amesoma Nchini Marekani akiwa na uzoefu wa masuala ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.

Mwaka 2020, Rais Kagame alimteua mtoto wa Kiume, Ivan Kagame katika Bodi ya Maendeleo ya Rwanda inayohusika na kufuatilia Maendeleo ya Uchumi kwa kuwezesha ukuaji wa sekta binafsi.

Pia, Januari 2023, mtoto mwingine wa Rais Kagame, Ian Kagame alichaguliwa kuingia katika Kikosi cha Ulinzi wa Rais ikiwa ni miezi michache tu baada ya kuhitimu kutoka Chuo cha Kijeshi cha Royal, Uingereza.

============

Rwanda’s President Paul Kagame has appointed his daughter Ange Kagame Ndengeyingoma, 29, to run a key department under his office.

According to a communique by the Office of the Prime Minister, Ange will serve as the “Deputy Executive Director, Strategy and Policy Council/SPC.”

Ange, who has been serving under the president’s office for about five years, completed her education abroad and was absent from the public eye for most of her childhood due to security and privacy reasons.

She attended Dana Hall School, a private preparatory school located in Wellesley, Massachusetts in the United States.

The First Daughter attended Smith College where she majored in political science with a minor in African studies.

She also holds a master’s degree in international affairs from Columbia University.

Kagame has been appointing his children in key positions, possibly to enable them to obtain experience in running government affairs.

In 2020, Kagame’s eldest son, Ivan Kagame was appointed to the board of Rwanda Development Board, a key government body tasked with fast tracking the country’s economic development by enabling private sector growth.

Ivan Kagame, a partner at a Venture Capital fund, holds a Bsc in Economics from Pace university and an MBA from the Marshall School at the University of Southern California.

He holds a Bsc in Economics from Pace university and an MBA from the Marshall School at the University of Southern California.

In January 2023, Ivan’s brother, Ian Kagame joined the presidential guard, just months after graduating from the Royal Military Academy, UK.

CHIMP REPORT
 
Back
Top Bottom