Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

"Mwaka huu" hicho kilugha maana,mana kama ni kiswahili,mwaka huu watumishi wameshalia hamna kitu
 
Hata ufanye kampeni hupendeki,nikujipendekeza tu.ongeza mishahara kwa watumishi,maskini na wakulima utawaongezea nini zaidi ya dharau na kashfa ? Utaweweseka na kura za Lowasa mpaka ulie pooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unamacho manner aise kumbe umegundua hilo kinachomuwewesesha ni zile kura za lowasa. Hebu flikilia tume ya uchaguzi ilikuwa yao na bado matokeo yakawa vile aise hili lazima limtese

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nae Magu akasema,"Na niteue mkuu wa mkoa kwa mfano wangu. Nae akamuipisha mkuu wa mkoa yule akambariki na kumtakasa kisha akamwambia, " enenda katawale mkoa ule na viumbe vyote vikaavyo juu yake Nae akauvariki mkoa ule akauita Darisalama. Ikawa usiku ikawa mchana.

Sizonje 12: 5 - 13

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo kubwa ni pale wanapoongeza mishahara kwa Wafanya kazi huku wakiwasahau wastaafu!
 
Kuna Watanzania Zaidi ya 100 watakua kiuchumi endapo mtumishi mmoja atawezeshwa vizuri, sijui kwa nini huyu jamaa huoni hili swala
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom