Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

Rais JPM Urambo 23/7/2017: Mwaka huu tutaongeza mishahara

ulisikiliza bunge au unafikir hatupo serikalini utapataje arrears wakat hakuna ongezeko LA mshahara?
Tokea Magufuli aingie madarakani ni mambo mangapi nje ya bajeti yameshatekelezwa? Hata hilo akiamua pesa itapatikana tu.
 
Hata ufanye kampeni hupendeki,nikujipendekeza tu.ongeza mishahara kwa watumishi,maskini na wakulima utawaongezea nini zaidi ya dharau na kashfa ? Utaweweseka na kura za Lowasa mpaka ulie pooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna watu bado mnamuwaza Lowasa? Kwa taarifa yako, chadema hakunaga mgombea wa urais kujirudia. Hivyo jiandae kisaikolojia.
 
I think soon he will receive a call from God, ready for the journey into fire! Just wait few days later you will hear about it.

Also it is a day when many Jf members will get ban because they will be so joyful and full drunk due to happiness after he received a call and go go to rest in fire,

Just a matter of time.
 
Mwaka wa fedha wa serikali huanza julai mosi, Hivyo kama kupanda madaraja ilitakiwa mwezi huu ulioisha. sasa je itawezekana vipi kupanda madaraja kwa sasa ilihali mwaka wa fedha ulishaanza bila kupanda madaraja? Bajeti yenyewe haikuweka wazi hata ile annual increment haipo! Hata waraka hakuna. Je kati kati ya bajeti inaweza kufanyika mabadiliko ya mishahara? Mi ninaona yatakuwepo kwa bajeti ijayo.
 
I think soon he will receive a call from God, ready for the journey into fire! Just wait few days later you will hear about it.

Also it is a day when many Jf members will get ban because they will be so joyful and full drunk due to happiness after he received a call and go go to rest in fire,

Just a matter of time.
Your urine could be tested,you are so "mchochezi"
 
Back
Top Bottom