Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,626
- 18,223
Hili tatizo LA vyeti ni jipu niliona habari kuwa had wauguzi wanafoji vyeti nikajiuliza huyu siatashindwa hata kuchoma sindano.
Mkuu unazungumzia wauguzi hao ni cha mtoto je, umesahau kisa cha Daktari wa Muhimbili aliye fanya operation kwenye ubongo badala ya mguu - mgonjwa akapata ugonjwa wa kupooza upande mmoja - we fikiria , je, hicho ni kisanga cha kawaida kweli !!